Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

Unamuamini mtu wa Kwanza ( Nesi/ Mkunga sijui ) anaebeba mtoto wako na kukukabidhi ?
Unajifunza Nini juu ya vilema wanavyozaliwa navyo watu ?

Unajifunza Nini wazee wanapokuambia bariki chombo kabla hakija beba mzigo ?.

Maneno ya wazee hayaanguki hovyo Kama embe bovu.
Kila mtu anaongea kwa mafumbo, jamani ebu fungukeni.
 
Kuna dada ni rafiki wa mama yangu huwa analalamika mumewe anataka kumtoa kafara ili apate utajiri.
Juzi kati alipata ajali mbaya sana akapelekwa hospital madaktari wakadhibitisha amefariki hivyo apelekwe mochwari.

Walivyomfikisha mochwari ile wanataka kumchoma sindano marehemu akazinduka.
Sasa wakati anamsimulia mama yangu changamoto za kishirikina anazokutana nazo kwa mume wake akasema "Huyu mwanaume hawezi kunishinda, mimi ndiye mtutsi original labda kama nisingepakwa damu ya uzazi"

Mama yangu akamuuliza kuhusu damu ya uzazi ndio akaambiwa ila kwa ufupi.
Dunia ina mambo ..
 
Haya mambo yapo sana yanatofautiana kati ya jamii Moja na nyingine, miaka flan Kuna kijana alikua mtumishi wa uma mwenyeji wa huko karibu na jamii hzo alifanya kosa wananchi walimpiga Sana jamaa alikaaa KCMC karibia wiki mbili kama "camatose" alivozinduka akasema yeye kufa ni either atake mwenyewe au zake zitimie ana bima ya asili
 
Haya mambo yapo! Ila watutsi wa jf wamegoma kumwaga mchele.
 
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.

Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.

Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.

Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.

Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Heeee [emoji44]
 
Back
Top Bottom