Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

Damu ya uzazi ina maagano yake
Kuna jinsi ya kumzindika mtoto na kiasi kinachobaki Kuna jinsi ya kukitupa sio ovyo ovyo
Pia Kuna elimu ya kitovu
Hii ni elimu pana nikijaaliwa muda nitakuja nayo hapa jukwaani kuidadavua
kitovu kikiangukia pens ya mtoto inabidi mama yake mzazi ajiwekee hiyo deliboz kwenye k yake
 
Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.

Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.

Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.

Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.

Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Itakuwa kweli maana mwenyewe nimefanyiwa nyota kali vibaya ovyo..
 
Achana na imani za kishirikina, kabidhi mtoto madhabahuni apakwe damu ya Yesu, hiyo nyingine ni uchafu.
 
Back
Top Bottom