Ephen umekunywa ile pombe niliyoacha chini ya uvungu nini?Wanasema mtoto aliyepakwa damu ya uzazi hata lasna na mikosi ya ukoo inampitia mbali, ataishi duniani na nyota yake ya asili.
Wachawi watu wenye nia ovu juu yake wanagonga mwamba.
Kuna siku nitakupa brief Kwa uchache tuSawa hamtoi siri zenu ila naomba uniambie tu kama hii kitu ipo au hakuna.
Asante sana ngara! Usichelewe basi kupandisha huo uzi na usisahau kunitag.Damu ya uzazi ina maagano yake
Kuna jinsi ya kumzindika mtoto na kiasi kinachobaki Kuna jinsi ya kukitupa sio ovyo ovyo
Pia Kuna elimu ya kitovu
Hii ni elimu pana nikijaaliwa muda nitakuja nayo hapa jukwaani kuidadavua
Wape kdg tu ,we ni mtu wa ngara mwenzanguDamu ya uzazi ina maagano yake
Kuna jinsi ya kumzindika mtoto na kiasi kinachobaki Kuna jinsi ya kukitupa sio ovyo ovyo
Pia Kuna elimu ya kitovu
Hii ni elimu pana nikijaaliwa muda nitakuja nayo hapa jukwaani kuidada
kitovu kikiangukia pens ya mtoto inabidi mama yake mzazi ajiwekee hiyo deliboz kwenye k yakeDamu ya uzazi ina maagano yake
Kuna jinsi ya kumzindika mtoto na kiasi kinachobaki Kuna jinsi ya kukitupa sio ovyo ovyo
Pia Kuna elimu ya kitovu
Hii ni elimu pana nikijaaliwa muda nitakuja nayo hapa jukwaani kuidadavua
Tuombe heri mambo yote nitayaweka wazi Kwa Sasa sijatulia vizuriWape kdg tu ,we ni mtu wa ngara mwenzangu
Itakuwa kweli maana mwenyewe nimefanyiwa nyota kali vibaya ovyo..Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Na hilo ni mojawapo unajua kitovu kipo katikati ya kila kitu ni kama engine kwenye ulimwengu wa rohokitovu kikiangukia pens ya mtoto inabidi mama yake mzazi ajiwekee hiyo deliboz kwenye k yake
Nakuombea usiweke mambo yote wazi ,huwa hatotoagi ya ndaniTuombe heri mambo yote nitayaweka wazi Kwa Sasa sijatulia vizuri
Hakunaga mtu anatoa ya ndani kwenda hadharaniMsiendekeze roho ngumu sio vizuri!!!! Kwani mkitumegea kidogo mnapungukiwa nini?
Changamoto ni kwamba havithibitishiki lakini vipoHaya mambo yapo! Ila watutsi wa jf wamegoma kumwaga mchele.
Tuwasaidie tu Watanganyika wenzetu hiki kizazi kipo gizani kwenye mambo ya kirohoNakuombea usiweke mambo yote wazi ,huwa hatotoagi ya ndani
InfropreneurHuu uzi haukufahi kaa pembeni.
Achana na imani za kishirikina, kabidhi mtoto madhabahuni apakwe damu ya Yesu, hiyo nyingine ni uchafu.Kuna baadhi ya mama huwapaka watoto wao damu inayotoka ukeni punde baada ya kutoka kujifungua.
Kwa nilivyosikia hii kitu ipo sana kwenye jamii ya Watutsi.
Wanasema punde mama anavyokabidhiwa mtoto wake basi hufanya kitu hiki huku akinenea maneno.
Inasaidia mtoto asipate husda yoyote inayosababishwa na walimwengu.
Watu waliofanyiwa kitu hiki huwa hawarogeki, wengine wanakua na nyota kali sana.
Chochote kibaya kinachowapata labda akisababishe mwenyewe ila sio kwa kusababishiwa na watu.
Hii ishu nimeisikia mara mbili, na jamii hizo hufanya jambo hili kwa siri ndio maana sio kila mtu anajua kuhusu hii mila au desturi.
Nikaona nije kuuliza humu sababu kuna wajuzi wa mambo.
Naomba kujua ukweli wa jambo hili.
Mshana Jr LIKUD GENTAMYCINE mdukuzi ngara23 Kapeace
Kwa hiyo kupwaka hizo damu za yesu ndio imani sahihi?Achana na imani za kishirikina, kabidhi mtoto madhabahuni apakwe damu ya Yesu, hiyo nyingine ni uchafu.