DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Usemayo ni kweli na mimi nikija kua na watoto kuwapeleka kanisani ni lazima.Achana na imani za kishirikina, kabidhi mtoto madhabahuni apakwe damu ya Yesu, hiyo nyingine ni uchafu.
***** hiki kisiki cha MpingoWalivyomfikisha mochwari ile wanataka kumchoma sindano marehemu akazinduka.
Sasa wakati anamsimulia mama yangu changamoto za kishirikina anazokutana nazo kwa mume wake akasema "Huyu mwanaume hawezi kunishinda, mimi ndiye mtutsi original labda kama nisingepakwa damu ya uzazi"
Halafu hilo kopo linawekwa wapi na mpaka lini?Na pia kuhusu kitovu Cha mtoto unakichukua unakiweka katika kopo.
Yote hufanya Sana Wahaya , waganda na watusi Kwa lengo hasa la kuzuia watoto wao wasirogwe .
Ila Mara nyingi michipuko ndo hufanya hizi mambo au wale walioa wanawake wengi.
Nkmeona sehemu kama 03 Nyumbani Bukoba
kinachanganywa na nywele za mtoto za mwanzo na kuzikwa aridhini🤒Halafu hilo kopo linawekwa wapi na mpaka lini?
Imeandikwa, hiyo ya uzazi haina kitabu ndo maana inafiçhwa fichwa. Kitu sahihi inawekwa hadharani.Kwa hiyo kupwaka hizo damu za yesu ndio imani sahihi?
Halafu hilo kopo linawekwa wapi na mpaka lini?
IMani tuKuna dada ni rafiki wa mama yangu huwa analalamika mumewe anataka kumtoa kafara ili apate utajiri.
Juzi kati alipata ajali mbaya sana akapelekwa hospital madaktari wakadhibitisha amefariki hivyo apelekwe mochwari.
Walivyomfikisha mochwari ile wanataka kumchoma sindano marehemu akazinduka.
Sasa wakati anamsimulia mama yangu changamoto za kishirikina anazokutana nazo kwa mume wake akasema "Huyu mwanaume hawezi kunishinda, mimi ndiye mtutsi original labda kama nisingepakwa damu ya uzazi"
Mama yangu akamuuliza kuhusu damu ya uzazi ndio akaambiwa ila kwa ufupi.
Mmmh!Sehemu ambayo watu hawafiki kirahisi .
Kuhusu hii mira/tamaduni nimeona Kwa mtu Wangu wa karibu Ila yule mtoto amebarikiwa sana
Darasini
Akili za maisha
Ndo kwanza Ana 15 yrs Ila mwaka huu anamaliza form six , Ana run business ya mama yake na anaelewa mambo Kwa kina mpaka unashangaa.
Anajua mambo ambayo kwa umri wake anabidi kuyajua mtu wa age ya 35-40
So huyu hapo sijaelewa ni hiyo mila ,genetics au nini ? Ila kuhusu wazazi wake ni average kichwani.
Unajua hata ngoma ya maajabu ya juma na uledi pia imeandikwa ?Imeandikwa, hiyo ya uzazi haina kitabu ndo maana inafiçhwa fichwa. Kitu sahihi inawekwa hadharani.
HahahahaTuwasaidie tu Watanganyika wenzetu hiki kizazi kipo gizani kwenye mambo ya kiroho
Ukishawapeleka madhabahuni siyo kuwaacha ukafikiri hiyo ni kama chanjo. Endelea kuutafuta uso wa bwana maisha yako yote watu wabaya wao hawaji siku moja wanakuja kila siku.Usemayo ni kweli na mimi nikija kua na watoto kuwapeleka kanisani ni lazima.
Lakini mbona watoto wengi walipelekwa kanisani lakini bado matatizo yanawaandama wengine ndio wanaongoza kuchezewa na wachawi?
Inakuwa ni siriKhaaa! Sibora nichome moto!
Ardhini watu wakipita navyo?
Hapa tunaongelea kupaka watoto huo uchafu, haijaandikwa hiyo.Unajua hata ngoma ya maajabu ya juma na uledi pia imeandikwa ?
Ephen ameandika hapa tayari au unataka iandikwe huko halafu iletwe na majahazi kama kitangulizi cha ukoloni tena?Hapa tunaongelea kupaka watoto huo uchafu, haijaandikwa hiyo.
Inakuaje vipo ila havithibitiki bwashee?Changamoto ni kwamba havithibitishiki lakini vipo
Kuhusu madarasa kuwa na 15 yrs na kuwa form six unaweza ukaona chaiMmmh!