Kuna faida gani kumpaka mtoto aliyezaliwa damu ya uzazi?

That’s nasty. Gross!

Imani potofu na ujinga wa kiwango cha juu.
 
Nasemaje tayari tunatoka na damu zanu kwa nini mtupakae tena... Kwa mujibu wa mleta mada...
Mi nadhani ni baadhi ya Mila za kabila na kabila....mfano kitovu chako sidhani kama ushawahi jua alipewa nani alikinenea Nini
Dunia Ina mambo mengi ya ajabu.IMANI
 
Dah!!! Inasaidia nini?
Placenta ipoje?
Hata najua basi.
Nurse alikuwa amelifunga kwenye mfuko, mzazi keshatoka hospital na kichanga chake ndio nurse kumkimbilia kasahau placenta lake.
Imagine movie ya wazungu 🤣🤣🤣
Ni km linasaidia kumpa nguvu ya kulea sijui. Ht sijafahamu
 
Dah! Eti kumpa nguvu ya kulea🤣
 
Dunia kwa ujumla wake ina tamaduni mbali mbali, na kila tamaduni ina negative na positive zake.
Hiko wanachofanya watust wengine hawafanyi na hakuna walicho pungukiwa, na wala hao Watusti hamna walichozidishawa kwa tamaduni yao hio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…