Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
 
Poleni sana...

Traffic usiku huu wamelala, hapo mtachomoka kesho pakishakucha..
 
Eneo hilo pakitokea utata wa jam inakuwa utata kwelikweli. Poleni!
 
Back
Top Bottom