Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

Kinawakaaa hapo co mda, wanakula timing hao.
Famchezo nn, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imagine mwenye nyumba ambae hizo gari zimepaki kwake katulia tu huyu mpita njia ndio ana kimuhemuhe
Watu kama nyie ndiyo mnatekwa kizembe sana.

Kwa hali ilivyo sasa hivi lazima uchukue tahadhari kama kuna jambo unalihisi haliko sawa.

Katika hali ya kawaida watu wamesimamisha magari halafu hwajatoka nje zaidi ya masaa mawili huoni kidogo kuna utata?

Yaani sijui baadhi ya watanzania mna nini vichwani mwenu mtu akichukua tahadhari atasimangwa mara muoga mara vile lakini tukio kama hili hili la gari kusimama zaidi ya masaa mawili watu hawashuki ikitokea mtu ametekwa utasikia tena mnasema huo ni uzembe kwanini haukutilia mashaka tukio kama hilo.
 
Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu
Na wao wanajua ila wamejawa hofu ya kutekwa
Itaneni wananchi wote mkazizunguke
 
Tafuta shughuli ya kufanya kengeh we!
 
You are right.

This is one of the indicator that an Abduction Squads or Hit Squads are inside the car. They're in Surveillance of their Targets. The people around the area must be extremely cautious and be very watchful all the time because the Hitmen or Abductors are around the corner. If possible, any means of mechanism for self-defense must be established in order to hit back in case of Abduction or attack.
 
HIyo shinyanga nini mzee,sii kila kitu kinafaa kuingia hofu.Ukitaka piga kambi eneo hilo ili uweze kujiridhisha mwenyewe.Ni akina nani na wanafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…