Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Iondoe crown na ist hapo.
Hao wengine ulowataja kweli ni wahuni na wanaleta sana kelele barabarani wakipita.
Hizo gari hata hazifai kwenda nazo ukweni unaweza ukanyimwa kuoa
 
Wivu tu...
Anayemiliki subaru ndo mwanaume sasa...lkn sio viforester vyenu.
Subaru ya maana wrx, sti ,gc8, n12 na makolokocho mengine ya maana.
Ama kweli ushamba mzigo kwa hiyo foresta sio subaru [emoji846] ndio tatizo la kujifanya mjuzi kumbe hujui kitu
 
Ama kweli ushamba mzigo kwa hiyo foresta sio subaru [emoji846] ndio tatizo la kujifanya mjuzi kumbe hujui kitu
Ameshindwa kuelewa jina la Subaru, ni kama ilivyo kwa Toyota ambako ndani yake kuna kizazi kama IST Land cruser, GX 110 na zingine.
 
Iondoe crown na ist hapo.
Hao wengine ulowataja kweli ni wahuni na wanaleta sana kelele barabarani wakipita.
Hizo gari hata hazifai kwenda nazo ukweni unaweza ukanyimwa kuoa
Sio mimi mkuu ni wadau huko mitaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…