Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Unaendesha NOAH alaf full Tinted lazima watakuhisi ni "Watu wasiojulikana", IST, Alteza, Crown ni magari ya wanyoa Viduku na kuvaa Vibukta vifupi.
Hapana bhachu Crown ni tamu na nyepesi. Hivi unataka Mzee wa miaka 65+ asukumane na LC au Hilux kweli. Kuna Mzee wa busara Namfahamu anaendesha zake Crown.
 
Wahuni sio watu πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Hapana bhachu Crown ni tamu na nyepesi. Hivi unataka Mzee wa miaka 65+ asukumane na LC au Hilux kweli. Kuna Mzee wa busara Namfahamu anaendesha zake Crown.
Kuna Mzee mmoja very smart always anavaa pama yeye gari yake ni Subaru tu. Sasa hivi ana XT moja kali sana.
 
sport car mnaita uhuni JF RAHA SANA
Watu wanaita za kihuni kutokana na dereva anayekaa humo...
Dereva anashuka mfano kwenye Altezza au Subie, ananuka K vant, shavu limevimba mirungi...
.sijui kichwani ana vidredi vichafuuu, au kiduku..
Kikaptula,
Chini yeboyebo na visoksi....
Mfukoni ana kiberiti,
Pakiti ya sigara...
Akiinama unaona elastic ya boxer paana kiuno sijui saizi 68. [emoji35][emoji35]...na limfereji la makalio, limepauka kama limepakwa poda..

Sasa huyo ni binadamu...? Si muhuni tu huyo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…