Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Kuna gari ukiendesha unaonekana 'muhuni', inasikitisha sana

Yaani kuna gari ukiendesha hata kama Una busara zako unaonekana muhuni tu,hasa zikiwa zenye tinted ukishuka ndio unaona aah kumbe blaza!
Gari ambazo watu huzichukulia vibaya ni kama
Altezza,Subaru hasa Impreza na Forrester,Crown,IST kwa wenzetu SA VW Polo
Daaa noma sana unajinyima unanunua Ist New Model kwa 19.5M kumbe watu wanakuona muhuni. Basi itabidi kuendesha escudo (manka mushi)
 
Back
Top Bottom