Kuna Genge ndani ya CCM linajiandaa kumuondoa Samia 2025 kwa Mlango wa Nyuma

CCM iondoke haraka tu tumechoka.
 

Samia 2025 kwa mfano kura anazipata wapi ? Ni akina nani watampatia kura?​

 
Nimeshangaa kuona hoja ya kuwa anamalizia awamu ya tano wameirudisha wenyewe. M/k anaenda kugeukwa bila kuamini
 
Maggufuli Alikuwa fisadi mkuu
 
Mwamba usihangaike na viongozi wa mpito, SSH ni kiongozi wa mpito apende asipende ndiomana sasa hivi anafanya potelea mbali aendelee kula kwa urefu wa kamba yake kwa sasa hadi 2025
Sukuma gang nyie Ni matahila, sasaivi ndani ya chama mshapigwa chini, Sasa sijui nyie vichaa huyo mnaemtaka atasimamishwa na Chama gani,

Yaani nyie kkkkenge ndani ya chama hamna nguvu Tena nyie matahila wa maggufuli
 
Wewe na wapuuzi wenzio wote, hamna nguvu ndani ya chama chetu,Wala ndani ya serikali, na Hadi kufikia December masalia yote ya dikteta yanapigwa chini ndani ya chama, unafikiri magufuli alichomfanyia Kinana na wazee Wengine kuwazalilisha kitapita hivihivi, lazima mtiwe adabu nyie wahaini wakubwa
 
Mtajuana wenyewe, mtoane tu hata kwa milango yote.
 
Sukuma gang nyie Ni matahila, sasaivi ndani ya chama mshapigwa chini, Sasa sijui nyie vichaa huyo mnaemtaka atasimamishwa na Chama gani,

Yaani nyie kkkkenge ndani ya chama hamna nguvu Tena nyie matahila wa maggufuli
Na tutawabutua endeleeni kupanic na akili zenu za kipopoma. Mkia wenu tunaujua vizuri ngedere nyie kila upande upambane
 
Pigeni kelele kama zumari tutawabutua tu
 
[emoji3] [emoji3] Mnahangaika tu, mama samia raisi mpaka 2030 hakuna kundi linalofanya hivo na wasio mkubali labda ni sukuma gang ila mama ikulu moja kwa moja... Unaonekana hujui lolote eti anateua wa Zanzibar kwene serikali ya muungano..... Umesahau muungano unaunganisha Zanzibar na tanganyika... Umesahau serikali ya muungano inawahusu Hao Zanzibar pia.. Na umesahau Kuw hakuna serikali ya Tanganyika
 
Toilet pepa watapinga..ila umesema ukweli mtupu..muda utaongea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…