Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

Kuna haja gani Wizara ya michezo kupeleka watu michezo ya kimataifa wakati hakuna maandalizi ya kutosha na mwisho kudhalilisha taifa letu kila wakati

kibori nangai

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
1,430
Reaction score
2,130
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.

Nijikite kwenye hoja

Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu.
Kila wakati tunapeleka watuu huko. Wanagharamiwa kwa kodi zetu kilakitu mwisho wanatuzalilisha kama taifa .
Damas Ndumbaro,Mwana FA. Nataka majibu ya haya maswali.

1. Hawa watu wanaotuwakilisha huwa mnawatoa wapi.

2. Maandalizi yao huwa yakojee

3. Maandalizi yao yanafanyika wapi

4. Mmejiridhusha vipi kwamba hawa wanaweza kuliwakilisha taifa

5. Kwa aibu hii mkakati wa Wizara ukoje au ndio tumekodoa macho kwenye Simba na Yanga

Haiwezekani hata kidogo. Tumechoka na ngonjeraa na haiwezekani. Leo Uganda wameshindaa Tanzania hata medali hata moja hakuna.

Matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. Nitaongea na Rais wa TLS kuona namna gani tunaweza kufungua kesi kwa wote waliohusika kuanzia Waziri mwenyewe.

Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
 
wachezaji wengi wazur wapo ila ni maskini, na hawana konekshen,
Hao wachezaji wenu ni michongo na konekshen, mitoto ya international schools, wengine wamepita kwa magumashi tu ya kubebana na kujuana kwingi hata kuogelea mita 50 bado unaenda kutia aibu unakua mtu wa mwisho..tumeshindwa hata na uganda wana medali moja ya gold..hata kenya wana silver, sisi tuna makalio tu ...wengine wamejipeleka kula perdiem[emoji706][emoji706][emoji706] , michezo iko mingi sana wabongo hawapo , sis nadhan tunaweza bia nyama choma.na kujadili aziz ki na mobeto, na kupiga madili ufisadi pesa za miradi.
 
Per diem

1000011271.jpg
 
Kweli kuna wasukuma wanasafiri kwa baiskeli toka shinyanga -dodoma and vice versa tunashindwa kuwapeleka trials hapa hatukosi medali ya mashindano ya baiskeli, kuna watu wanaogelea sijui kuhusu baharini lakini nimeshuhudia miamba ikiogelea kisiwa hadi kisiwa huko ukerewe ziwani, tunashindwaje kuwapata hao watu wakafanye trials,
 
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.

Nijikite kwenye hoja

Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu.
Kila wakati tunapeleka watuu huko. Wanagharamiwa kwa kodi zetu kilakitu mwisho wanatuzalilisha kama taifa .
Damas Ndumbaro,Mwana FA. Nataka majibu ya haya maswali.

1.Hawa watu wanaotuwakilisha huwa mnawatoa wapi.

2.Maandalizi yao huwa yakojee

3.Maandalizi yao yanafanyika wapi

4.Mmejiridhusha vipi kwamba hawa wanaweza kuliwakilisha taifa

5.Kwa aibu hii mkakati wa Wizara ukoje au ndio tumekodoa macho kwenye Simba na Yanga

Haiwezekani hata kidogo. Tumechoka na ngonjeraa na haiwezekani. Leo Uganda wameshindaa Tanzania hata medali hata moja hakuna.

Matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. Nitaongea na Rais wa TLS kuona namna gani tunaweza kufungua kesi kwa wote waliohusika kuanzia Waziri mwenyewe.
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris
Mkuu hapo kuna wanufaika wa hizo safar, kumbuka kuna wasindikizaji kutoka wizara ya michezo,sanaa na utamaduni hao ndio wanufaika na safar lazima ifanyike wether wachezaji wamejiandaa au lah!!
 
Namna ya kuwapata wawakilishi haijakaa sawa.kujuana na undugu ndiyo hutumika.Kwanza Kwa uwakilishi ule wa watu saba ni bora wasingeenda kabisa.Hapo wamenufaisha walioambatana nao kama mawaziri maana perdiem zao ni sawa na gharama zote za hao wa chezaji Kwa waziri mmoja
 
Kweli kuna wasukuma wanasafiri kwa baiskeli toka shinyanga -dodoma and vice versa tunashindwa kuwapeleka trials hapa hatukosi medali ya mashindano ya baiskeli, kuna watu wanaogelea sijui kuhusu baharini lakini nimeshuhudia miamba ikiogelea kisiwa hadi kisiwa huko ukerewe ziwani, tunashindwaje kuwapata hao watu wakafanye trials,
Hatutachukua wachezaji toka mikoani, wengi wao hawjui kuvaa wala kutembea.
 
mie nasemaga kila leo sie wabongo tuanzishe mashindano ya ngon huko tutashinda sie tunang'ang'ania michezo ambayo hatuwezi.
sie tunaweza ngono tujikite huko nao ni mchezo ati
 
Jitu linakua la mwisho.ni aibu kwa taifa
Mkuuu hili taifaa letu ni mtuhanii
CCM wanangaliaga matumbo yao tuu

Utakuta huyo alienda kuwakilisha nchii ni memo sijui mtoto wa nani.

Honestly wee need to change samia SULUHU Hassani

Usitufanye tuwaze kuwaza cha kufanya
 
mie nasemaga kila leo sie wabongo tuanzishe mashindano ya ngon huko tutashinda sie tunang'ang'ania michezo ambayo hatuwezi.
sie tunaweza ngono tujikite huko nao ni mchezo ati
Allergy yetu wabongo ni vitu vyote vilivyo serious.
Hata ngono ikishawekwa kwenye mashindano serous bado hatutoboi. Shida yetu masiara mengi.
Hata uchawa ikiwa kada serous ya kushindaniwa na yenyewe tutashindwa.
 
Mkuu kwa hiyo unataka kusema

Hawa machawa ikiwa mashindano watashindwa

Cc Mwijaku naa UVCCM Lucas Mwashambwa njo huku unaitwaa

Miaka yote unasifiaa hata ujumbe wa nyumba kumi hujapewa
 
Allergy yetu wabongo ni vitu vyote vilivyo serious.
Hata ngono ikishawekwa kwenye mashindano serous bado hatutoboi. Shida yetu masiara mengi.
Hata uchawa ikiwa kada serous ya kushindaniwa na yenyewe tutashindwa.
in short we are never serious.
 
Yawezekana pengine hiyo hua ni nafasi ya watawala kwenda na michepuko yao kula bata 🤔🤔
 
Kuna kitu nataka kusema ila nimegundua Watanzania hawapendi kuambiwa ukweli kwa hiyo ngoja ninyamaze.
 
Back
Top Bottom