kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Ndugu zangu wanaJamiiForum
Nakusalimuni huko huko mlipo.
Nijikite kwenye hoja
Hii wizara ya Utamaduni na michezo sijui inatuchukuliaje watanzania.
Nimesikitishwa sanaa na hawa wawakikishi wa taifa letu kwenye michezo ya Olympic hakuna hata msimu mmoja uliowai kuwa salama kwa taifa letu.
Kila wakati tunapeleka watuu huko. Wanagharamiwa kwa kodi zetu kilakitu mwisho wanatuzalilisha kama taifa .
Damas Ndumbaro,Mwana FA. Nataka majibu ya haya maswali.
1. Hawa watu wanaotuwakilisha huwa mnawatoa wapi.
2. Maandalizi yao huwa yakojee
3. Maandalizi yao yanafanyika wapi
4. Mmejiridhusha vipi kwamba hawa wanaweza kuliwakilisha taifa
5. Kwa aibu hii mkakati wa Wizara ukoje au ndio tumekodoa macho kwenye Simba na Yanga
Haiwezekani hata kidogo. Tumechoka na ngonjeraa na haiwezekani. Leo Uganda wameshindaa Tanzania hata medali hata moja hakuna.
Matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. Nitaongea na Rais wa TLS kuona namna gani tunaweza kufungua kesi kwa wote waliohusika kuanzia Waziri mwenyewe.
Soma pia: Watanzania 7 kupeperusha Bendera ya Tanzania katika Olimpiki 2024 huko Paris