Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi mpaka nimeandika hapa kuna utafiti nimefanya ninegundua,nina ndugu zangu wawili hawashauriki na hawataka kazi za kawaida sababu ya level ya Elimu waliyopata, lakini mtu huyo huyo virungu haviishi. Ukiwa wauliza wana mpango gani wanadai wanasubiri ajira.Sasa kama unaona unaweza ukawasaidia vijana waliosoma basi fanya hivyo,
Sio elimu hii ya bongoUkiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
No fanya utafiti ndio uje hapa. Huko mafinga vijana wamemaliza la saba B tena hawakuwa na elimu ya kutosha leo hii ndio wana ustaarabu na matajiri kuliko wanauza miti na mbao balaa.Ni wazi kuwa elimu ni mwanga lakini kama hujielewi elimu ni bure.Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
Utajiri wa mafinga uangalie tu hivi hivi sio wa bure uleNo fanya utafiti ndio uje hapa. Huko mafinga vijana wamemaliza la saba B tena hawakuwa na elimu ya kutosha leo hii ndio wana ustaarabu na matajiri kuliko wanauza miti na mbao balaa.Ni wazi kuwa elimu ni mwanga lakini kama hujielewi elimu ni bure.
Kama wale wanaojiweka chupa wanaotred au waliopata kiki, si wasomi wale na sio lasaba b.Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
Mtoa mada mjinga tu, hapo akiumwa sijui atatibiwa na hao vijana wa la saba b anaowasifia wana pesa.Hakuna taifa lilioendelea bila elimu labda mataifa ya kipuuzi puuzi kama... ambako siasa ndio mtaji..
Unamshangaa mtu anaidharau elimu ili hali elimu ndiyo inazalisha 99.99% ya vitu anavyotumia kuishi kama siyo 100%.
Serikali iithamini elimu na Itengeneze mazingira ya ajira.
Mataifa makubwa yanawekeza kwenye elimu ilihali literacy rate yao ni kubwa ila mataifa maskini yalijojawa na ujinga yanapuuza elimu!!
Hatari Sana hii...
Taifa hili bado linahitaji wasomi kuliko ilivyokuwa kabla na vijana someni...
Ni Moja ya MAJUKUMU ya Serikali yoyote ile duniani kutengenezea Wananchi wake ajira.
Lakini nchi za Rais katoa, Fulani kampinga rais, rais, rais, rais, rais as if Ukiwa Rais basi unaacha kuwa Mtu ni shida juu ya shida...
Watu wanajikomba hadi kuvua utu wao!!
Watu wanataka kutoa jukumu la Kutoa ajira mikononi mwa Serikali hatari kubwa!
Boys Go to school we need you...
Someni mje kuleta mapinduzi kutoka katika mikono ya viongozi Dhalimu!
Someni mpate maarifa mjue kuwa kiongozi is nothing than a kiongozi... bado ni Mtu mwenye Madhaifu na lazima akisolewe...
Someni mkoamae kisiasa ili Kupitia ujinga wenu wanasiasa wasijiamini mbele yenu bali wateteleke mbele yenu
Someni mpate kukomaa katika kila nyanja ili mfanye mapinduzi mshiriki katika kuliendesha taifa letu...
Kiongozi Siyo Taifa bali wananchi ndiyo taifa...
Someni.
Utajiri wa Mafinga ukoje mkuuUtajiri wa mafinga uangalie tu hivi hivi sio wa bure ule
Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.