Kuna haja gani ya kusoma elimu ya juu wakati unakuwa mzigo kwa wazazi na serikali?

Elimu ndogo ulinayo haijakusaidia kujua role of education in life
Niambie hiyo kubwa vijana wasomi waliyoipata huko vyuoni imewasaidia nini? Au kukaa na kusubiri ajira na kualalamika kazi ngumu?
 
Sasa kama unaona unaweza ukawasaidia vijana waliosoma basi fanya hivyo,
Mkuu hivi mpaka nimeandika hapa kuna utafiti nimefanya ninegundua,nina ndugu zangu wawili hawashauriki na hawataka kazi za kawaida sababu ya level ya Elimu waliyopata, lakini mtu huyo huyo virungu haviishi. Ukiwa wauliza wana mpango gani wanadai wanasubiri ajira.
Ukiwapa mchongo wa kawaida kupata hata 200k wanaona unawadharau na wanaona aibu jamii inawaonaje elimu yao wanafanya kazi ya kawaida vile!! Kwa hiyo ni changamoto kweli kweli sio kama ni kejeli
 
Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
Sio elimu hii ya bongo
 
No fanya utafiti ndio uje hapa. Huko mafinga vijana wamemaliza la saba B tena hawakuwa na elimu ya kutosha leo hii ndio wana ustaarabu na matajiri kuliko wanauza miti na mbao balaa.Ni wazi kuwa elimu ni mwanga lakini kama hujielewi elimu ni bure.
 
We ndio maana ulishindwa kufikia hiyo elimu ya juu. Uelewa wako ni mdogo km **** ya mjusi
Ww ulieifikia mbona unatulilia shida sasa? Tumia hiyo elimu kutatua shida zako
 
No fanya utafiti ndio uje hapa. Huko mafinga vijana wamemaliza la saba B tena hawakuwa na elimu ya kutosha leo hii ndio wana ustaarabu na matajiri kuliko wanauza miti na mbao balaa.Ni wazi kuwa elimu ni mwanga lakini kama hujielewi elimu ni bure.
Utajiri wa mafinga uangalie tu hivi hivi sio wa bure ule
 
Usikute huyu ndugu ame reseat zaidi ya mara mbili mwishowe anakuja kuongea hivi.

Kweli anataka taifa zima liwe la saba?
 
Ukiachana na mambo ya ajira, Elimu ina umuhimu saana kwenye maisha ya kawaida.
Huwezi fananisha mtu Aliesoma atleast hata kufikia elimu ya Form 4 na mtu ambae kaishia darasa la 7 au hata ambae hajasoma kabisa.
Mtu aliesoma anakua Civiilized (kastaarabika), anakua na uvumilivu maana Mpaka kumaliza hiyo elimu alivumilia mambo mengi, anaona fursa nyingi, atakua na uwezo wa kupata knowledge tofauti na alichosomea ambapo vitu hivi huwezi pata mtu ambae hajasoma kabisa.
Kama wale wanaojiweka chupa wanaotred au waliopata kiki, si wasomi wale na sio lasaba b.
 
Hakuna taifa lilioendelea bila elimu labda mataifa ya kipuuzi puuzi kama... ambako siasa ndio mtaji..

Unamshangaa mtu anaidharau elimu ili hali elimu ndiyo inazalisha 99.99% ya vitu anavyotumia kuishi kama siyo 100%.

Serikali iithamini elimu na Itengeneze mazingira ya ajira.

Mataifa makubwa yanawekeza kwenye elimu ilihali literacy rate yao ni kubwa ila mataifa maskini yalijojawa na ujinga yanapuuza elimu!!

Hatari Sana hii...

Taifa hili bado linahitaji wasomi kuliko ilivyokuwa kabla na vijana someni...

Ni Moja ya MAJUKUMU ya Serikali yoyote ile duniani kutengenezea Wananchi wake ajira.

Lakini nchi za Rais katoa, Fulani kampinga rais, rais, rais, rais, rais as if Ukiwa Rais basi unaacha kuwa Mtu ni shida juu ya shida...
Watu wanajikomba hadi kuvua utu wao!!

Watu wanataka kutoa jukumu la Kutoa ajira mikononi mwa Serikali hatari kubwa!

Boys Go to school we need you...
Someni mje kuleta mapinduzi kutoka katika mikono ya viongozi Dhalimu!

Someni mpate maarifa mjue kuwa kiongozi is nothing than a kiongozi... bado ni Mtu mwenye Madhaifu na lazima akisolewe...

Someni mkoamae kisiasa ili Kupitia ujinga wenu wanasiasa wasijiamini mbele yenu bali wateteleke mbele yenu

Someni mpate kukomaa katika kila nyanja ili mfanye mapinduzi mshiriki katika kuliendesha taifa letu...

Kiongozi Siyo Taifa bali wananchi ndiyo taifa...

Someni.
 
Mtoa mada mjinga tu, hapo akiumwa sijui atatibiwa na hao vijana wa la saba b anaowasifia wana pesa.

Ujinga mzigo sana.
 
Usikute huyu ndugu ame reseat zaidi ya mara mbili mwishowe anakuja kuongea hivi.

Kweli anataka taifa zima liwe la saba?
Sijamaanisha hivyo,elimu ya juu tu
 
Mtoa mada mjinga tu, hapo akiumwa sijui atatibiwa na hao vijana wa la saba b anaowasifia wana pesa.

Ujinga mzigo sana.
🤣🤣🤣Acha ujinga ww,toka usome umegundua nini zaidi ya kununua kwa wazungu?
 
Back
Top Bottom