Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

Mkuu hujaona mabarabara ya mtaani yakijengwa
Hebu nenda
Dodoma mjini vibarabara vya mitaa
Dar maeneo ya mbagala na temeke
kiwalani vibarabara vya mitaani
Nenda kigoma
Katavi
Mbeya
Sikuelewi mkuu unataka kujenga hoja gani?
Maendeleo yapo kila pahala usituchonganishe wtz
 
Mgawanyiko wa kiupendeleo wa dhahiri kabisa. Kosa hilo lisitokeee tena. Ninaamini hata chama changu cha CCM tumejifunza. Kurudia kosa ni jinai.
 
NendaMbeya mjini,Tukuyu hadiRwangwa zinapigwa lami,Dodoma ndo usiseme.Hata ungekuwa wewe mtoa mada ukawa kiongozi huwezi kuungwa mkono na wote!Hata Mitume tunaowasoma leo katika nyakati zao hawakuungwa mkono.Hata wangekuwepo leo bado wangepingwa.Wewe piga kazi lisha familia yako,fuata sheria,pambana kujikwamua kiuchumi,Saidia wanyonge.Bila kusahau kumuomba Mungu wako!Usiwe mtu wa kulalamika utajiongezea stress zisizo za lazima.Ova.
 
Stigler's inajengwa Chato, SGR imeanzia kanda ya Ziwa, Kijazi interchange ipo Mwanza .... Highway ya Njia sita inajengwa Mara...Waziri mkuu msukuma, Makamu wa Rais alikua anatokea kanda ya Ziwa, Mawaziri wote walikua wasukuma, Diwani ni mtu wa Bukoba, CPG ni wa Shinyanga ...Mama wa Uhamiaji ni Wa Geita kweli Mwendazake alikua mkabila na mkanda bro your stupid kabisa
 
Hakika we ndio umetoa mawazo mazuri kuliko wote
 
Mbeya itoe hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni ileile ili mradi Magufuli kaonyesha njia ya upendeleo kupendelea kwao Samia naye hataacha kufuata nyayo za mtangulizi wake, yaliyofanyika Chato yatahamia Zanzibar.
 
CCM ni ileile ili mradi Magufuli kaonyesha njia ya upendeleo kupendelea kwao Samia naye hataacha kufuata nyayo za mtangulizi wake, yaliyofanyika Chato yatahamia Zanzibar.
 
Toa hoja inayoeleweka! Miradi ya umeme na SGR itanufaisha nchi nzima! Tunazungumzia miradi inayonufaisha baadhi ya jamii tu!
 
Toa hoja inayoeleweka! Miradi ya umeme na SGR itanufaisha nchi nzima! Tunazungumzia miradi inayonufaisha baadhi ya jamii tu!
Pe nkutishi shoni utakwiva umwanugwe?
 
CCM ni ileile ili mradi Magufuli kaonyesha njia ya upendeleo kupendelea kwao Samia naye hataacha kufuata nyayo za mtangulizi wake, yaliyofanyika Chato yatahamia Zanzibar.
Zanzibar ina bajeti yake tofauti na bara!
 
Mkuu hao hata wasikusumbue kichwa. Sasa hivi watatelekeza ID waje na mpya. We subiri JK awe mwenyekiti wa ccm na Samia aanze rasmi kazi J3 utaona ID nyingi zitapotea zilizokuwa zinamuunga mkono Magufuli
Watakimbia vibaya sana maana waliyekuwa wanamtegemea kuwapatia posho sasa kawatupa mkono
 
Asante kwa kuni support πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…