Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

Zanzibar ina bajeti yake tofauti na bara!
Bajeti ya bara haina mpaka inavuka mpaka Zanzibar kwa kuwa nayo ni sehemu ya Tanzania na wanapotumia fedha za kujipendelea kwao wanazipitisha chocho bila kupitia bungeni.
 
Mkuu hao hata wasikusumbue kichwa. Sasa hivi watatelekeza ID waje na mpya. We subiri JK awe mwenyekiti wa ccm na Samia aanze rasmi kazi J3 utaona ID nyingi zitapotea zilizokuwa zinamuunga mkono Magufuli
Hebu nifahamishe kdg, jk ndo anakuwa m.kiti wa ccm?
 
Ukweli mtupu,Magu kafanya mtu akitokea kanda au mkoa fulani eti anaanza kujipendelea

Ni wazo zuri maana wao Wana utawala wa ndani wakiongoza bara hawatakuwa na upendeleo wa maeneo yao
 
Fanya mpango mfugale, kijazi, morogoro barabara, na hospital zote mzihamishie kanda ya ziwa ili mseme vizuri. Ninyi ndiyo mnaukabila mlizoea kila kitu kwenu hivyo sasa mwaumia sana kuona na wenzenu wamekumbukwa. Shame on you.
 
Nimekosa tusi zuri
 
Je mama nae atajenga uwanja wa ndege kijijini kwake?
 
Je tubadili katiba aliyopo atawale milele sababu amevaa viatu vyake?
 
Safi mkuu
 
Hao watawala kwa haki thus Hadi leo Mungu kawapa uhai mrefu wanaishi.Watawala wa Kikristo wote watatu hadi sasa Mungu kawachukua.waislamu utenda haki thus wapo hai hata sasa.
Kanuni ni mbili za haki
1.Usimwage damu za watu.
2.Usimwage machozi ya watu.
Siku zake za kuishi zitakuwa nyingi
 
Tukisema watu wana Chuki binafsi mnatuona wabaya.
Hii ni chuki binafsi inakupofua mleta mada
 
Wakati huna uhakika na kesho yako utakula nini!
 
Mgawanyiko wa kiupendeleo wa dhahiri kabisa. Kosa hilo lisitokeee tena. Ninaamini hata chama changu cha CCM tumejifunza. Kurudia kosa ni jinai.
Mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…