MATAGA kaziniNendaMbeya mjini,Tukuyu hadiRwangwa zinapigwa lami,Dodoma ndo usiseme.Hata ungekuwa wewe mtoa mada ukawa kiongozi huwezi kuungwa mkono na wote!Hata Mitume tunaowasoma leo katika nyakati zao hawakuungwa mkono.Hata wangekuwepo leo bado wangepingwa.Wewe piga kazi lisha familia yako,fuata sheria,pambana kujikwamua kiuchumi,Saidia wanyonge.Bila kusahau kumuomba Mungu wako!Usiwe mtu wa kulalamika utajiongezea stress zisizo za lazima.Ova.
Hivi ukichangia hoja bila kutukana unaamini huwezi kueleweka?Stigler's inajengwa Chato, SGR imeanzia kanda ya Ziwa, Kijazi interchange ipo Mwanza .... Highway ya Njia sita inajengwa Mara...Waziri mkuu msukuma, Makamu wa Rais alikua anatokea kanda ya Ziwa, Mawaziri wote walikua wasukuma, Diwani ni mtu wa Bukoba, CPG ni wa Shinyanga ...Mama wa Uhamiaji ni Wa Geita kweli Mwendazake alikua mkabila na mkanda bro your stupid kabisa
Kutuletea ZenaMbeya hamna mradi wowote kwa miaka hii mitano, Je tutamkumbuka kwa lipi ndugu zangu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaangalie Busekelo kutoka Tukuyu hadi Rwangwa kinachofanyika kwa macho yangu nimeona watubwanabomoa vibanda vya na contractor yuko site,Tukuyu kwenda Ndembela lami,nk unatakaje?!Hata Rumi haikujengwa kwa siku moja,Hata mke tunaanza na ushumba upo?Izo lami za wapi, Mbona izo rami zinaonekana Ni mpango wa mda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndege wafananaoHakika we ndio umetoa mawazo mazuri kuliko wote
Magufuli alikuwa janga la taifa!!Kwa miaka mitano na ushee tukiwa chini ya Rais Magufuli tumeshuhudia utamaduni mpya ukijengeka Tanzania. Nchi imepoteza utaifa na sasa kuna ukabila, ukanda na ubaguzi wa kimaeneo! Kwa miaka mitano tumeshuhudia uwekezaji katika maendeleo ukiwa zaidi kanda ya Ziwa na hasa mikoa ya Geita, Mwanza, Shinyanga na Simiyu wakati mikoa ya Rukwa, Songwe, Katavi, Kigoma, Ruvuma, Njombe, Manyara, Singida nk ikiambulia kiduchu!
Hali hii inatokana na Rais kuwekeza zaidi maeneo ya karibu na kwao. Hali ya kukosa uwekezaji wa maendeleo pia uliyakumba maeneo yaliyokuwa chini ya upinzani. Kwa maneno yake mwenyewe Magufuli aliwahi sema hawezi kupeleka fedha kwa watoto wa jirani wakati pia ana watoto.
Mbegu hii ya ubaguzi aliyoipanda Magufuli tayari imeota kwa baadhi ya wanasiasa wetu kuanza kutoa upendeleo wa maendeleo katika wilaya na mikoa waliyozaliwa! Hali hii ikiendelea tutaishia katika kujenga chuki zisizo na msingi na hatimaye kupelekea vita miongoni mwetu.
Hivyo ili kujiepusha na janga hili ni heri kiongozi wetu mkuu yaani Rais awe na asili ya Zanzibar kwa sababu atakuwa hana maslahi yo yote katika mkoa wo wote huku bara.
Utajua hujuiHebu nifahamishe kdg, jk ndo anakuwa m.kiti wa ccm?
Jamaa alifanya mambo mengi ya hovyo hovyo itachukua muda kuya-undoMtu keshazikwa bado Tu tunamtupia lawama..
Inatosha sasa...
Inaonekana engineer hajatembelea Mbeya muda mrefu!Nimekutajia kinachoendelea bado unahoji maswali!Soma kwa makini na ikiwezekana uende maana tafiti hupingwa kwavtafiti au akili za kuambiwa changanya na za kwako,upo!!!!😎kama nakuona ukishangaa,Tukuyu -Rwangwa.Tukuyu-Chuo cha ualimu nk.Izo lami za wapi, Mbona izo rami zinaonekana Ni mpango wa mda mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hauna logic we nimfia chapa tu, me Sina chama hapa.Kaangalie Busekelo kutoka Tukuyu hadi Rwangwa kinachofanyika kwa macho yangu nimeona watubwanabomoa vibanda vya na contractor yuko site,Tukuyu kwenda Ndembela lami,nk unatakaje?!Hata Rumi haikujengwa kwa siku moja,Hata mke tunaanza na ushumba upo?
Yaani watanganyika hawaamini kama saiv wanaongozwa na mzanzibar,saiv amir jeshi mkuu ni mzanizibar lazima mtapike nyongo dadeki.Mahaba yako na watu wa Zanzibar usiwapakazie na kuwatukana wengine
Wape mji wako wakuongozee (wakuolee na watoto), si unawahusudu sana!
unaonaje tuchukue raia wa Kenya au Uganda atutawale maana hatokuwa na interest ya bara wala visiwani kabisaaa..
Wewe huna tofauti na wanaotema jojo kwa karanga mbili za kuonjeshwa!Inaonekana engineer hajatembelea Mbeya muda mrefu!Nimekutajia kinachoendelea bado unahoji maswali!Soma kwa makini na ikiwezekana uende maana tafiti hupingwa kwavtafiti au akili za kuambiwa changanya na za kwako,upo!!!!😎kama nakuona ukishangaa,Tukuyu -Rwangwa.Tukuyu-Chuo cha ualimu nk.
Stigler's inajengwa Chato, SGR imeanzia kanda ya Ziwa, Kijazi interchange ipo Mwanza .... Highway ya Njia sita inajengwa Mara...Waziri mkuu msukuma, Makamu wa Rais alikua anatokea kanda ya Ziwa, Mawaziri wote walikua wasukuma, Diwani ni mtu wa Bukoba, CPG ni wa Shinyanga ...Mama wa Uhamiaji ni Wa Geita kweli Mwendazake alikua mkabila na mkanda bro your stupid kabisa
CCM ni ileile ili mradi Magufuli kaonyesha njia ya upendeleo kupendelea kwao Samia naye hataacha kufuata nyayo za mtangulizi wake, yaliyofanyika Chato yatahamia Zanzibar.
If you don't understand sarcasm, allegory and the term esoteric you're going to hate my replies and threads ..you may even sometimes term me as barbaric 😥Kumbe mama wa uhamiaji ni wa Geita!
Waziri wa nishati na mlipaji mkuu wa serikali ni wa Geita pia!