Kuna haja Marais wote wajao wa Tanzania wawe wanatoka Zanzibar

Ndugu Ileje tumwache apumzike tu......japo nikweli kanda ya ziwa ndiyo ilikuwa inaongoza hata kwa Ziara...mikoa uliyoitaja nikweli inahali mbaya kiasi
Ni kweli kabisa kwani ziara nyingi alikuwa anazifanya maeneo aliyopeleka fedha ili kukagua mradi inavyotekelezwa!
 
Tatizo la watu wa Bara wengi wana asili ya ufugaji.
Wafugaji kwa asili ni wezi,wabinafsi,waroho,walaghai, wahuni, wababe, wenye tamaa na wasio ridhika.

Wazanzibari ni waadilifu. Waongeze ukali tu na kutumbua majipu yaliyojazana ndani ya Chama na Serikali.

Hapa kazi halali tuu.
 
hivi msibani ulikuwepo, uliwasikia marais wastaafu wanazungumza nini, mashehe, maaskoofu, wamezungumza nini, na wanyonge wamezungumza nini. Na wewe upo katika gani kati ya hawa?
 
Ni kweli kabisa kwani ziara nyingi alikuwa anazifanya maeneo aliyopeleka fedha ili kukagua mradi inavyotekelezwa!
Pale Songwe Airport mpaka leo usiku ni giza ndege haziwezi kutua, yaani uwanja kama ule hela ya miundombinu ya umeme tu inakosekana jamani.....huwa nashangaa sana hili jambo
 
hata useme nini dunia imeshuhudia ukweli wote
 
Ukanda ukanda ukanda, ukabila ukabila, hilo lipo wazi hata kipofu anaona, rais wa tano alikua mkabila na mkanda, Mwenyezimungu amlaze anapoona panafaa kulazwa
 
hivi msibani ulikuwepo, uliwasikia marais wastaafu wanazungumza nini, mashehe, maaskoofu, wamezungumza nini, na wanyonge wamezungumza nini. Na wewe upo katika gani kati ya hawa?
Mimi nalaani vikali ubaguzi, ukabila na ukanda aliyojenga na kuupalilia Magufuli!
 
sinza shekilango tuna barabara nne hatukuwai hata kuwaza.

thread za chuki kwa kanda ya ziwa kama kawaida.
Achana na wapumbavu wa twita wamehamia huku..wanajifanyaga wanajuaa wakat ni hohehahe.kulalama tu..watu wanaolalama snaa waogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…