yoteyametimia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2022
- 210
- 262
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga mswaki!
Mi kupiga mswaki ucku ni kwa mbinde, nishafanya root canal 1. Kuna haja ya kuhangaika kupiga mswaki ucku jamani 🙄🙄
Rafki yangu aliniambia mimi ni mchafu nalalaje bila kupiga mswaki 😆 eti mtu asubuh atasikia kinywa kinatoa harufu, nikamuuliza kwa hiyo asubuh hupigi mswaki? Akasema anapiga lkn angalau hamna atakayemsikia anatoa harufu asubuh, nikamwambia mi nikiamka ni moja kwa moja bafuni kuoga na kupiga mswaki ndo mengine yaendelee we mwenzangu cjui unaamkia kupiga umbea, labda wenye wenzao wanaopeana vya asubuhi 😃 lkn kwangu sio hoja kabisa 😆