Kuna haja ya kupigwa mswaki zaidi ya mara moja kwa siku?

yoteyametimia

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2022
Posts
210
Reaction score
262
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga mswaki!

Mi kupiga mswaki ucku ni kwa mbinde, nishafanya root canal 1. Kuna haja ya kuhangaika kupiga mswaki ucku jamani 🙄🙄

Rafki yangu aliniambia mimi ni mchafu nalalaje bila kupiga mswaki 😆 eti mtu asubuh atasikia kinywa kinatoa harufu, nikamuuliza kwa hiyo asubuh hupigi mswaki? Akasema anapiga lkn angalau hamna atakayemsikia anatoa harufu asubuh, nikamwambia mi nikiamka ni moja kwa moja bafuni kuoga na kupiga mswaki ndo mengine yaendelee we mwenzangu cjui unaamkia kupiga umbea, labda wenye wenzao wanaopeana vya asubuhi 😃 lkn kwangu sio hoja kabisa 😆
 
Brush your teeth as often and as soon as you finish your meal. Thank me later.

It’s far better and mostly healthy to brush the teeth BEFORE one goes to bed than after they rise up in the morning.
 
Mbona waliokuwa na badii ya kupiga bado yanawasumbua? 🥴
 
That’s beside the point. Kama kusema eti mbona wasiovuta bange etc nao wanapata chest pain and magonjwa mengine ya mapafu.

Nasemaje? Fikra butu kama hiyo nao ni ugonjwa mwingine unaohitaji tiba.
 
Kama umeumbiwa maradhi ya meno utakuwa nayo tu upige mswaki usipige mswaki.

Ila kupiga mswaki angalao kwa siku mara mbili (usiku&mchana) ni muhimu sana itakufanya hata wewe mwenyewe kuwa comfortable maana wakati mwengine mdomo wako unaweza kuwa kero kwako.
 
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga mswaki!

Mi kupiga mswaki ucku ni kwa mbinde, nishafanya root canal 1. Kuna haja ya kuhangaika kupiga mswaki ucku jamani 🙄🙄

Rafki yangu aliniambia mimi ni mchafu nalalaje bila kupiga mswaki 😆 eti mtu asubuh atasikia kinywa kinatoa harufu, nikamuuliza kwa hiyo asubuh hupigi mswaki? Akasema anapiga lkn angalau hamna atakayemsikia anatoa harufu asubuh, nikamwambia mi nikiamka ni moja kwa moja bafuni kuoga na kupiga mswaki ndo mengine yaendelee we mwenzangu cjui unaamkia kupiga umbea, labda wenye wenzao wanaopeana vya asubuhi 😃 lkn kwangu sio hoja kabisa 😆
Mshaambiwa mnanuka midomo we mmojawapo,
Unakula supu la utumbo+ safari,nyagi,k vant halafu unaenda kulala bila mswaki,
Mabaki yote ya mivyakula umetafuna kutwa yamebaki mdomoni unalala nayo
,unapiga swaki fasta asb mbio,
Miezi,miaka,karne.
Hilo domo litakua linatoa harufu tu km choo cha city.
 
Hatareee, basi Sawa 😆 sema me sipendi utumbo Mkuu na sinywi pombe kama unakulaga kweli uwe unapiga mswaki ikiwezekana kila baada ya tonge la utumbo 😆
 
Ya nini kama bado meno yatasumbua tu huko mbele, kuna ndugu yangu tangu kijana mdogo hawezi kulala bila kupiga mswaki kama masharti ya mganga, sasa ni mzee lkn ashafanya root canal zaidi ya 1 na saa hiz kuna jino linamsumbua nafkiri atafanyiwa nyingine. Wengine kila baada ya kula wanapiga mswaki!

Mi kupiga mswaki ucku ni kwa mbinde, nishafanya root canal 1. Kuna haja ya kuhangaika kupiga mswaki ucku jamani [emoji849][emoji849]

Rafki yangu aliniambia mimi ni mchafu nalalaje bila kupiga mswaki [emoji38] eti mtu asubuh atasikia kinywa kinatoa harufu, nikamuuliza kwa hiyo asubuh hupigi mswaki? Akasema anapiga lkn angalau hamna atakayemsikia anatoa harufu asubuh, nikamwambia mi nikiamka ni moja kwa moja bafuni kuoga na kupiga mswaki ndo mengine yaendelee we mwenzangu cjui unaamkia kupiga umbea, labda wenye wenzao wanaopeana vya asubuhi [emoji2] lkn kwangu sio hoja kabisa [emoji38]
Yote yametimia....
 
Back
Top Bottom