Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Hangaya she's misfit to the position.
 
Kwa kweli Mukandala ame prove failure kabisa... Ushauri wake umeshtua watu wengi.
 
Kwa kweli Mukandala ame prove failure kabisa... Ushauri wake umeshtua watu wengi.

Mmeshituka msiomfahamu, Mukandala throughout his life ni mtu wa kujipendekeza; Kikwete has been using him kwa kazi zake zote chafu!! He is not only an opportunist but also a political fraud!! To put it mildly he is an academic mercenary!!
Given the composition ya ile Tume, did you expect anything different from what they produced? As they say in computer circles " GABBAGE IN ,GABBAGE OUT! The appointed team was mediocre and hence they produced a mediocre report.
 
Mmeshituka msiomfahamu, Mukandala throughout his life ni mtu wa kujipendekeza; Kikwete has been using him kwa kazi zake zote chafu!! He is not only an opportunist but also a political fraud!!
Kwa kweli nimeamini.....
 
Kuna watu hawaridhiki, hata ukiwabeba mgongoni watasema wamechoka wabebe kichwani. Kipindi cha Magufuli walisema ni dikteta, mkatili na mtu wa kufokafoka, kipindi cha kikwete walisema ni dhaifu, asiye na maamuzi magumu na mtu wa kucheka cheka.

Huyu pia wanasema mswahili, ni juzi tu walimpamba kua analiponya taifa.
 

Utadhani ni mchambaji wa Uswazi aliyekuwa amesubiri Kikeke kwa hamu ili ampe vidonge vyake![emoji28]
 
Uko sahihi, Siku akikutana na wanaojua maswali ya kukera atakuja kujichanganya na kuongea ambayo hakupaswa kuongea
Training ni muhimu, tupunguze lawama. Wanawake wengi wana hisia na huwa wanazionyesha. Hii ni structural difference kati ya mtu me na ke...Tuwe tunaelewa hizi tofauti.
 
Sikufuatilia hayo mahojiano.

Mkuu una uhakika huyo ni SSH mwenyewe au ni Khadija kopa??

Majibu gani sasa hayo, hapo ni vile kikeke ni mzoefu tu ila ingekua mwingine asingekomaa na hayo maswali, wala kibongobongo hakuna anaethubutu kumuuliza chochote zaid ya kumpamba tu.
 
Hana skills za ku-navigate difficult conversations
Siyo kosa lake, kosa la wanaoandaa viongozi. Mtu mpaka kufikia level hiyo, kwanini asiwe exposed kwenye such trainings za leadership na emotional intelligence?
 
Kwakweli hata mimi nasikitika sana kuona state apparatus zinashindwa kumanage state issues na hata image ya mkuu wa nchi...Ilianza tangu kwa mwenda zake. Lazima waone hii siyo sawa hata kwa sisi ambao tunatumia common sense wala siyo experts kwenye mambo kama hayo
 
Pascal Mayalla hebu toa neno hapa.
 
Usiwe mnafiki, angechomoa sawa lakini in the assertive way siyo hivyo akionyesha aggressiveness ya hali ya juu...Hiyo ime provoke watu wengi sana na kumwona kama vile yeye ndiye king'ang'anizi kumbe masikini hata pengine hana hiyo nia. Tusimpotoshe Rais, yeye ni symbol ya nchi yetu. Haiba yake ni muhimu sana katika kila neno au tendo analolifanya public.

Alihiitaji aonekane kwamba ni calm, anaelewa hitaji la watu lakini angeonyesha challenges ambazo zinazuia yeye kuhamaki kutoa ahadi hewa.
 
Labda ndio changamoto ya kuwa mwanamke. Amekuwa emotional na kukasirika katika situation ambayo angekuwa mwanasiasa kidogo na kukwepa swali
 
Aliepita hamkumsema alipokua anakosea..wa sasa kila mtu anamkosoa. Hatuongozwi na malaika kutoka mbinguni bali hao wote ni binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…