Kuna haja ya Rais Samia kufundishwa jinsi ya kudhibiti hisia zake anapoongea/anapohutubia

Amekosa presidential traits.
Amezingua sana. Sijui hawaandaliwi!?
Mtangulizi wake alikua anakwepa midahalo na interview sasa tumeona kwa msaidizi wake je yule alivyokua na verbal diarrhoea angekuwa anapata interview kama hizi ingekuwaje ?
 
Nakubaliana na mchangiaji mmoja kwny uzi huu kwa hoja yake kwamba hata opposition wangekuwa madarakani wasingekuwa na habari na katiba ya sasa..kwahy katiba mpya tusiitarajie kwny generation hii..tudaini marekebisho tu yanayogusa maisha ya watu straight..ni cheap kudai amendments kuliko kudai the whole..
 
Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.
Wewe shukuru tu kwamba hakumuuliza huyo mtangazaji: Hujui kuwa mimi ni RAIS?

Hawa watu wanaamini hicho cheo cha urais kinawapa uwezo wa kuwa kila kitu, hata kuonyesha ujinga, na watu hata wenye akili zao hawapashwi kuhoji chochote!
 
Nakubaliana na mchangiaji mmoja kwny uzi huu kwa hoja yake kwamba hata opposition wangekuwa madarakani wasingekuwa na habari na katiba ya sasa..kwahy katiba mpya tusiitarajie kwny generation hii..tudaini marekebisho tu yanayogusa maisha ya watu straight..ni cheap kudai amendments kuliko kudai the whole..
Hata sielewi kama unaelewa unachosema hapa.

"Amendment", ku-'amend' nini? Kwa nini unadhani hiyo amendment itakuwa siyo kwa maslahi ya anayesimamia kazi hiyo ya ku-'amend'?

Sasa hivi wewe unaona kuna Bunge lenye uwezo wa kufanya 'amendment' itakayokuwa na manufaa kwa nchi?
 
As long as ni mwanamke asee hata huyo atakayemfundisha atanyanyua mikono. Wanawake ni mama zetu ni dada zetu tunawaheshimu wanajua kuongoza na kutoa maamuzi thabiti ila wanafanya kwa hisia sana kuliko kwa akili ya kawaida. Wengi tulipokuwa wadogo tulipoona mama zetu wanalia kwa maana wananyasika tulihisi hivyo kumbe baadhi ya mambo mama zetu au dada zetu wanakosea sana kuyafanya kisa tuu wanaamua kwa hisia sana kuliko busara.
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Sasa waliosoma politics wenyewe ndo wanaongoza kwa kutojua kitu. Wanahisi udictator ndo mfumo mzuri wa uongozi. Kama Bashiru alivyo
 
Bora yeye kajibu hivyo, jiwe alisema kwenye kampeni hakuna mahali aliahidi mambo ya katiba mpya hivyo hataki kuulizwa hayo maswala na hakuna aliyeendelea kumhoji wala kuanzisha vuguvugu la katiba mpya.
Ni Bora ukaushe kabisa kuhojiwa hojiwa wakati unajua huna kifua Cha kuhimili.
 
Bure ya ghali ... Chuki ni hasira iliyokomaa.... Mkuu uzi huu unamhusu Sana
 
Hata sielewi kama unaelewa unachosema hapa.

"Amendment", ku-'amend' nini? Kwa nini unadhani hiyo amendment itakuwa siyo kwa maslahi ya anayesimamia kazi hiyo ya ku-'amend'?

Sasa hivi wewe unaona kuna Bunge lenye uwezo wa kufanya 'amendment' itakayokuwa na manufaa kwa nchi?
 
Ameonyesha image ya kikaidi

Hayo ni mafunzo ya Mjomba wa Msoga a.k.a Vasco Dagama!! Watu wanataka Katiba Mpya ili kuwe na level PLAYING FIELD wakati wa Uchaguzi wa 2025. Halafu anaingia Mkandala [ read Kikwete] na genge lake eti wanapendekeza mchakato uanze baada ya Uchaguzi wa 2025 !!!! Hawa wana itakia mema Tanzania Kweli? Inaelekea hawajui kwanini watu wanataka Katiba waipendayo au wanajifanya HAMNAZO makusudi ili kufanikisha uporaji wao wa mali za nchi!!

Rais anapenda kutamka neno HAKI, lakini sidhani kama anaelewa vizuri maana yake. Huwezi kuwa na maendeleo bila kuwa na Amani na huwezi kuwa na Amani bila kuwa na HAKI! Sasa huo uchumi utaufunguaje bila kuwepo AMANI ya Kweli kwa wananchi?
 
Mfano leo alipokuwa anaongea, kasema ukiwasema polisi unaenda kujibiwa sijui uamini vyombo vyako na hayo aliyoyatamka. Ameongea kwa namna fulani hivi.
Mama na Rais wetu mpendwa awe makini sana. Kuna mambo mengine kama wewe ni Rais unamamlaka ya kuwaita wakuu wa vyombo vya usalama ukaongea nao huko sirini. Na si kupiga vijembe au mipasho ya taarabu katika kadamnasi za watu.
Hao unao wasema hivyo ndo wanakulinda.

Nikukumbushe, miaka ya 90, wakati Rais Mwinyi kapishana na Mkuu wa Majeshi Mwita Kyaro. Mwita Kyaro alikwenda Ikulu na kuamuru Rais atoke nje akamuone Mkuu wa Majeshi. Nakumbuka siku hiyo Dar ilikuwa kimyaaa.

Busara za Mwinyi hakutoka kwenda alichofanya ni kuongea na Nyerere ili aweze msihi Mkuu wa majeshi kurejea kwake na kutofanya alichokusudia. Ndipo Nyerere aliongea na Mkuu wa Majeshi, na hatimaye mambo yalipoa.

Hivyo Rais kama uliudhika kwa kauli ya Mkuu wa Polisi, tafuta mtu kuongea nae kama uwezi. Mtumie hata mzee wa Msoga, kumweleza Siro alichofanya si kizuri. Lakini hii mipasho unayoifanya katika jukwaa si nzuri kiusalama. Kumbuka vyombo vya usalama si kama spika wa Bunge, ambae uliweza msema jukwaani.

Mpaka mkuu wa Polisi kutamka huna imani na vyombo vyako vya usalama, uwezi jua kwanini alisema hivyo. Mara nyingi hawa wakubwa wana support. Au unachotakiwa muondoe kuliko kujibizana kama ulivyofanya. Nakushauri kuwa makini acha mipasho.
 
Nimeangalia clip kadhaa Mama akiwa aidha anaongea ama anahojiwa, kuna hali anakuwa nayo anapojibu maswali ya kuonyesha kutoweza kudhibiti hisia zake.

Kama kiongozi anapaswa kuwa na busara ya kujua 'tone' ya sauti yake tu inaweza leta tafsiri tofauti.

Huwa anatoa majibu kama vile ana ugomvi binafsi na anaemuuliza.

Kuna zile kauli kama vile "anasutana na mtu", kitu ambacho hakileti tafsiri nzuri.

Kuwa kwake raisi sio siri tena, wote tunajua hivyo hana sababu ya kutumia kila nafasi kuonyesha kuwa yeye ni raisi, hii inaleta tafsiri moja tu; kuwa hajiamini.

Wale watu wa Political Manners and Etiquettes wanapaswa wamuweke chini na kumfundisha jinsi ya kujiconduct in public.

Inapaswa ajue kuwa kama Raisi, hisia zake binafsi sio hisia za kila mtu.

Yaani nilivyo angalia hayo mahojiano ni afadhari hata Dr. Msukuma anaweza kueleza kitu sensible, kwa lugha nyepesi tuu ni kuwa mama network zilikata amezingua sana na sio presidential Material, au kizaramu tunasema she is Nonsense. Anaongelea Mambo ya nchi utafikiri wanasutana wamama kwenye kitchen party.
 
Nikukumbushe, miaka ya 90, wakati Rais Mwinyi kapishana na Mkuu wa Majeshi Mwita Kyaro. Mwita Kyaro alikwenda Ikulu na kuamuru Rais atoke nje akamuone Mkuu wa Majeshi. Nakumbuka siku hiyo Dar ilikuwa kimyaaa
LOOoooh, kuna mambo mengine hatujawahi kuyasikia. Ahsante JF.

Sasa aje mwingine atoe ushuhuda juu ya haya yaliyosemwa hapa kama ni ya kweli!
 
Ana hasira na wabongoz! Anajua fika 80% hawampendi kabisa, hata ukiwa ni ww lazima uwe na mood ya hasira hasira
 
Mfano leo alipokuwa anaongea, kasema ukiwasema polisi unaenda kujibiwa sijui uamini vyombo vyako na hayo aliyoyatamka. Ameongea kwa namna fulani hivi.
Mama na Rais wetu mpendwa awe makini sana. Kuna mambo mengine kama wewe ni Rais unamamlaka ya kuwaita wakuu wa vyombo vya usalama ukaongea nao huko sirini. Na si kupiga vijembe au mipasho ya taarabu katika kadamnasi za watu.
Hao unao wasema hivyo ndo wanakulinda.

Nikukumbushe, miaka ya 90, wakati Rais Mwinyi kapishana na Mkuu wa Majeshi Mwita Kyaro. Mwita Kyaro alikwenda Ikulu na kuamuru Rais atoke nje akamuone Mkuu wa Majeshi. Nakumbuka siku hiyo Dar ilikuwa kimyaaa.

Busara za Mwinyi hakutoka kwenda alichofanya ni kuongea na Nyerere ili aweze msihi Mkuu wa majeshi kurejea kwake na kutofanya alichokusudia. Ndipo Nyerere aliongea na Mkuu wa Majeshi, na hatimaye mambo yalipoa.

Hivyo Rais kama uliudhika kwa kauli ya Mkuu wa Polisi, tafuta mtu kuongea nae kama uwezi. Mtumie hata mzee wa Msoga, kumweleza Siro alichofanya si kizuri. Lakini hii mipasho unayoifanya katika jukwaa si nzuri kiusalama. Kumbuka vyombo vya usalama si kama spika wa Bunge, ambae uliweza msema jukwaani.

Mpaka mkuu wa Polisi kutamka huna imani na vyombo vyako vya usalama, uwezi jua kwanini alisema hivyo. Mara nyingi hawa wakubwa wana support. Au unachotakiwa muondoe kuliko kujibizana kama ulivyofanya. Nakushauri kuwa makini acha mipasho.
Huenda wewe ni polisi, maana unashida sana ya kujieleza na kueleweka kimaandishi.
 
Back
Top Bottom