Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
wamezidi sanaaaa, serikali iwatupilie mbaliii kabisaaa!!Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
Mle wana fundishwaga na ma ustadhiiiHaya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
Unaweza fikisha hoja yako kwa namna na lugha nzuri na adabu, hivi kila mtu akitumia lugha kama yako patakalika humu ?Vitoto vinalishwa sumu vikiwa vidogo masikini, utakuta kitoto kimetoka shule kimechoka kinaenda tena madrassa,
Alafu mashehe wakishavaa magauni na vibakuli wanajiona kama wako mawinguni vile, wengi wao hawajui kusoma wanajidai eti kiarabu kinapanda.
Serikali ingepiga marufuku makanzu na vibakuli na ifunge madrasa zote hazina maana yotote.
we unaona alichokifanya kizuri?Unaweza fikisha hoja yako kwa namna na lugha nzuri na adabu, hivi kila mtu akitumia lugha kama yako patakalika humu ?
Hivyo vitendo havipo Ktk dini na sio vizuri kwa ujumla na vipi kila mahali kuanzia mashuleni na hata kanisa katoliki hizo kashfa wanazo ni vyema kukemea maovu bila kujali nani kafanya na usifurahie maovu kwa vile lipo na limefanywa na mtu asiye wa upande wangu.we unaona alichokifanya kizuri?
umeshinda, usije kunichinja mie.Hivyo vitendo havipo Ktk dini na sio vizuri kwa ujumla na vipi kila mahali kuanzia mashuleni na hata kanisa katoliki hizo kashfa wanazo ni vyema kukemea maovu bila kujali nani kafanya na usifurahie maovu kwa vile lipo na limefanywa na mtu asiye wa upande wangu.
Na Ktk jamii tujifunze adabu na lugha za stara kumbuka wenzako nao wanaweza kukufanyie kama ulivyowafanyia au zaidi ya hapo je utaridhika ?Kama nyumba dirisha au kuna mahala pana hitilafu solution ni kubomoa nyumba nzima au kurekebisha kwenye hitilafu ?
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
kuna vitoto vibichi vinakaririshwa Kuimba Kwaya kwny kanisa moja Mtoni kijichi …hao hawaishii saa mbili usiku …la jmosi kuamkia Jpili wanakesha kanisani na wakufunzi wao ni mabaro baroKuna moja imeanzishwa hapa jirani vitoto vibichi vinakaririshwa hapo na kuimba kiarabu mpaka saa mbili usiku na mwalimu wao mwanaume. Soon mrejesho utakuja.
FaizaFoxy
Usifurahie uovu kisa haukugusi wewe au unafanywa na mtu mwingine ni vyema kukemea kwa haki bila kujali nani anafanya kwani haya mambo yapo kila mahali na sio mambo ya kuchukulia mzaha hata kidogo..Kuna moja imeanzishwa hapa jirani vitoto vibichi vinakaririshwa hapo na kuimba kiarabu mpaka saa mbili usiku na mwalimu wao mwanaume. Soon mrejesho utakuja.
FaizaFoxy
Kwa uzoefu wangu kanisani huwa hamna kukariri.kuna vitoto vibichi vinakaririshwa Kuimba Kwaya kwny kanisa moja Mtoni kijichi …hao hawaishii saa mbili usiku …la jmosi kuamkia Jpili wanakesha kanisani na wakufunzi wao ni mabaro baro
Tatizo kubwa la madrasa siku hizi zinaanzishwa na watu binafsi mitaani. Jitahidini kwamba angalau ziwe zinafanyikia misikitini.Usifurahie uovu kisa haukugusi wewe au unafanywa na mtu mwingine ni vyema kukemea kwa haki bila kujali nani anafanya kwani haya mambo yapo kila mahali na sio mambo ya kuchukulia mzaha hata kidogo..