Kuna haja ya Serikali kuzichunguza hizi madrasa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.

Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.

Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu, Ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Suala la msingi sana hili..kuwe na regulations kwenye hizi taasisi za dini..nyingi zimekua sehemu za maficho ya waovu.

Serikali iache kujificha kwenye kichaka cha kuwa haina dini..iweke kontrol kwenye hizi taasisi mana kwasasa zimepoteza kabisa dira na zimekuwa zikipika matapeli, magaidi, wauza madawa, wavuruga amani,wazinzi na kila aina ya uchafu.

Kuna mzee mmoja aliwahi niambia dini sio mbaya ila wenye dini ndio wabaya.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakati sirro anasema wanaweka vijana kuchunguza mienendo ya mafundisho ya dini kwenye madrassa,akaonekana punguani sababu anapambana na ugaidi.lakini faida moja wapo ni kama hii.
 
wakati sirro anasema wanaweka vijana kuchunguza mienendo ya mafundisho ya dini kwenye madrassa,akaonekana punguani sababu anapambana na ugaidi.lakini faida moja wapo ni kama hii.
 
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.

Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.

Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
wamezidi sanaaaa, serikali iwatupilie mbaliii kabisaaa!!
 
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.

Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.

Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
Mle wana fundishwaga na ma ustadhiii
 
Vitoto vinalishwa sumu vikiwa vidogo masikini, utakuta kitoto kimetoka shule kimechoka kinaenda tena madrassa,

Alafu mashehe wakishavaa magauni na vibakuli wanajiona kama wako mawinguni vile, wengi wao hawajui kusoma wanajidai eti kiarabu kinapanda.

Serikali ingepiga marufuku makanzu na vibakuli na ifunge madrasa zote hazina maana yotote.
Unaweza fikisha hoja yako kwa namna na lugha nzuri na adabu, hivi kila mtu akitumia lugha kama yako patakalika humu ?
 
we unaona alichokifanya kizuri?
Hivyo vitendo havipo Ktk dini na sio vizuri kwa ujumla na vipi kila mahali kuanzia mashuleni na hata kanisa katoliki hizo kashfa wanazo ni vyema kukemea maovu bila kujali nani kafanya na usifurahie maovu kwa vile lipo na limefanywa na mtu asiye wa upande wangu.

Na Ktk jamii tujifunze adabu na lugha za stara kumbuka wenzako nao wanaweza kukufanyie kama ulivyowafanyia au zaidi ya hapo je utaridhika ?Kama nyumba dirisha au kuna mahala pana hitilafu solution ni kubomoa nyumba nzima au kurekebisha kwenye hitilafu ?
 
umeshinda, usije kunichinja mie.
 
ni sahihi kabisa

hata Uislam hautaki hayo matendo machafu na adhabu ya ulawiti kwa mujibu wa Uislam ni kifo…ikiipendeza Serikali iridhie hilo

Uislam sio dini ya 'ammendements' na ku compromise sheria zake kwa kisingizio cha 'uhuru binafsi' kama baadhi ya imani zingine zifanyavyo
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.

Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.

Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu., Ili iwe fundisho kwa wengine.
 
Kuna moja imeanzishwa hapa jirani vitoto vibichi vinakaririshwa hapo na kuimba kiarabu mpaka saa mbili usiku na mwalimu wao mwanaume. Soon mrejesho utakuja.

FaizaFoxy
 
kuna vitoto vibichi vinakaririshwa Kuimba Kwaya kwny kanisa moja Mtoni kijichi …hao hawaishii saa mbili usiku …la jmosi kuamkia Jpili wanakesha kanisani na wakufunzi wao ni mabaro baro
 
Kuna moja imeanzishwa hapa jirani vitoto vibichi vinakaririshwa hapo na kuimba kiarabu mpaka saa mbili usiku na mwalimu wao mwanaume. Soon mrejesho utakuja.

FaizaFoxy
Usifurahie uovu kisa haukugusi wewe au unafanywa na mtu mwingine ni vyema kukemea kwa haki bila kujali nani anafanya kwani haya mambo yapo kila mahali na sio mambo ya kuchukulia mzaha hata kidogo..
 
Tatizo kubwa la madrasa siku hizi zinaanzishwa na watu binafsi mitaani. Jitahidini kwamba angalau ziwe zinafanyikia misikitini.
 
... jambo la msingi sana hili. Ni wakati muafaka sasa wa hizi dini kuwa regulated; iundwe bodi maalumu kwa ajili ya ku-oversee baadhi ya mafundisho na miendendo ya watendaji kwenye hizi dini.
 
Nakubaliana na wewe; serikali ifike hatua sasa ifuatilie kwa karibu na kudhibiti mafundisho yanayoendelea ili hatua zichukuliwe haraka kabla ya mambo kubaribika

Tunakubali kuwa dini ni jambo huru lakini hakuna uhuru usio na mipaka.

Kwa kuwa hizi taasisi za dini zinaendeshwa na binadamu na sote tunajua kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu ni VEMA serikali ikachukua hatua ya kufuatilia mienendo ya mafumdisho hayo kwa karibu sana na ikibidi kuweka mashushu ili kupata taarifa na kuchukua hatua haraka kabla ya mambo kuharibika

Hatua hizi zichukuliwe kwa dini zote hapa nchini

inaumiza sana kusikia watoto 22 wamelawitiwa kwa muda mrefu.. tayari wanaume 22 wamekuwa mashoga kwa lazima.

Hii kitu haikubaliki.. kama hatua zimgechukuliwa mapema isingefikia hatua ya kuharibiwa kwa watoto 22.

Ifike hatua sasa tuseme uhuru wa mafundisho ya dini udhibitiwe na serikali na taasisi zake
 
Back
Top Bottom