Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Haya matukio ya watoto kufanyiwa unyama wa kulawitiwa na hawa wakufunzi wa madrasa yamekuwa yakishamiri sana hapa nchini.
Hii inafikirisha sana maeneo ambayo mzazi anaamini mtoto wake ndio anaenda kupata misingi bora ya dini, ndio panaenda kuwa kaa la moto.
Huu ukatili kwa watoto wetu haukubaliki tunaiomba serikali iwachukulie hatua kali hawa mashekhe wanaituharibia watoto wetu, Ili iwe fundisho kwa wengine.