Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP

Mkuu Acha chuki za vigoli. Bashiru Ana maisha yake. Mbona wewe hufuatiliwi kazi zako. Unapenda kutaja watu as if we mke mwenza. Hao hawahusiki Kabisa.
 
Kalemani na Polepole ndio wafadhili wa hiki chama, pamoja na Luhaga Mpina na Bashiru.

Nashauri kiitwe Chato Democratic Party -CDP
Wanadai baadhi ya waanzilishi ni pamoja na Bashite, Zero, Kingae, Mamboyakisasa.

Kinachoshangaza ni kwa nini maafisa wa PoliCCM wamekipenda hiki chama?
 
Una maana wanaoitwa wanyonge ni wachache nchi hii ??!! You must be joking !!! ,
 
Kitakuwa mseto kitabeba Wana ccm, Chadema,cuf na nccr mageuzi hapo 2025!!

Hizo mbinu za ccm kuanzisha vyama mapandikizi ilishafeli muda mrefu. Naona bado wanatumia mbinu za kizamani kwelikweli.
 
SHIKAMOOO MKUUU,UMEBARIKIWA SAANA,
 
Naona unataja watu ambao mioyoni mwa watanzania wanakubalika kinoma. Pole sana, maana mlivyo wachafu hata kuingia mitaani mnaogopa. Makamba alienda kule Stigler basi akafika akashusha vioo asalimie aisee watu walimkaushia yaani walimuona ni kituko.
Kuna yule alienda Bukoba kuomba kura Wahaya wakamzomea kabisa, alijua Wahaya na wenyewe ni wanyonge. Mungu ni mwema siku zote
 
Mkuu Acha chuki za vigoli. Bashiru Ana maisha yake. Mbona wewe hufuatiliwi kazi zako. Unapenda kutaja watu as if we mke mwenza. Hao hawahusiki Kabisa.
Ila wamehusika kwenye uovu mwingi sana wakiongozwa na Jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…