Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.

1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.

2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.

3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.

4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.

5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.

6. Kunyang'anywa ubunge.

7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.

8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.

Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.

Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
Marehemu jingaman hakutaka mtu mwenye mawazo bora kuliko utopolo wake, alitaka jingamen wenzake ambao kila kitu ni kuitikia ndio!
Kumshabikia marehemu na chama chake cha majambazi kunahitaji kujitoa ufahamu na kujivika uchizi.
Hivi ni nani mwenye utimamu wa akili asiyetambua wizi uliofanywa na awamu ya5?
Utekaji na uuaji wa raia wasio hatia(mathalani Mheshimiwa Lissu aliokolewa na Mungu).
Uporaji wa fedha za wafanyabiashara,
Propaganda za kumsifia jingaman zilienda hadi kuanzishwa kwa somo jipya la kumsifia na kumtukuza kama muasisi wa mageuzi ya kiuchumi Tanzania na topics kadhaa za kuwasemea vibaya wapinzani wake.

Pamoja na kwamba huyu muharibifu hayupo lakini ameacha waharibifu waliorithi nyendo zake, yafaa kuwaondoa kabisa kwenye uso wa siasa
 
Sijawahi kuona mzalendo wa kisiasa akitukana na kutoa lugha kali zilizojaa dharau ,kedi na kuchafua wengine hususani RAIS WA NCHI...hii ilitokea katika kampeni "zao" uchaguzi wa 2020.....

Tundu Lissu hajajijua kujitofautisha kuwa mwanasiasa kutoka kuwa MWANAHARAKATI hivi alivyo.....

Mathalani ,Mtunduizi Malcolm X (RIP) alikuwa na lugha KALI MNO dhidi ya ukandamizaji ,uonevu na UBAGUZI wa rangi uliofanywa na WATU WEUPE dhidi ya wamarekani weusi....Malcolm alikuwa ni MWANAHARAKATI na si mwanasiasa........

#KaziIendelee
 
Lisu ni shujaa huko chadema walipojaa MATUTUSA wenzake,mtanzania mwenye akili timamu hawezi msikiliza LISU,lisu si tu ni adui wa taifa bali ndio IBILISI mwenyewe
 
Marehemu jingaman hakutaka mtu mwenye mawazo bora kuliko utopolo wake, alitaka jingamen wenzake ambao kila kitu ni kuitikia ndio!
Kumshabikia marehemu na chama chake cha majambazi kunahitaji kujitoa ufahamu na kujivika uchizi.
Hivi ni nani mwenye utimamu wa akili asiyetambua wizi uliofanywa na awamu ya5?
Utekaji na uuaji wa raia wasio hatia(mathalani Mheshimiwa Lissu aliokolewa na Mungu).
Uporaji wa fedha za wafanyabiashara,
Propaganda za kumsifia jingaman zilienda hadi kuanzishwa kwa somo jipya la kumsifia na kumtukuza kama muasisi wa mageuzi ya kiuchumi Tanzania na topics kadhaa za kuwasemea vibaya wapinzani wake.

Pamoja na kwamba huyu muharibifu hayupo lakini ameacha waharibifu waliorithi nyendo zake, yafaa kuwaondoa kabisa kwenye uso wa siasa
Ukae ukijua lisu alipigwa na chadema wenyewe
 
Chadema wana nguvu kwa kweli!
Wakaondoa ulinzi site I,II,III
Wakang'oa CCTV camera,
Wakaomba kuleta private investigators kutoka nje kuja kujichunguza na kujiumbua wenyewe, wakamnyima Lissu matibabu, wakazuia watu kumuombea, wakawaweka mahabusu waliovaa fulana zenye jina lake, wakamsimamishia mshahara, wakampora ubunge
 
Kwa akili yako kipi katika ulivyoviorodhesha ambacho hakiwezi fanywa na chadema?
Kwa kutokuwa na akili kwenu kuamini amini kila muambiwalo ndio maana mzee LOWASA aliwakomesha
 
Jitahidi mara mojamoja unajidai kama hauoni ulichojibiwa ili kujisitiri na uhayawani.Fumba macho nikuombee!Usidhani nakuombea la maana.Nakuombea uumwe hata na kunguni tu.
 
Kwa akili na upeo wako ukaamini? daah!
Hautaki kumuamini Diallo?😝😝😝😝
 
Jitahidi mara mojamoja unajidai kama hauoni ulichojibiwa ili kujisitiri na uhayawani.Fumba macho nikuombee!Usidhani nakuombea la maana.Nakuombea uumwe hata na kunguni tu.
Kwa akili hizi mh! wale wadada 19 kule bungeni wana akili kuliko chadema yote
 
Unamzungumzia tundu lisu yupi, yule zezeta wa MIGA, ambaye ni shoga yake na rob amster; au kuna mwingine?
Kama ni huyo basi nakuhakikishia, hatuhitaji kuaminishwa na mtu yeyote, sisi wenyewe tunamjua fika. Ni msaliti wa taifa letu, aliye tayari kutumiwa na mabeberu kulihujumu taifa letu kwa manufaa yake binafsi.
Wala usitake kutuchefua hapa
 
Jitahidi mara mojamoja unajidai kama hauoni ulichojibiwa ili kujisitiri na uhayawani.Fumba macho nikuombee!Usidhani nakuombea la maana.Nakuombea uumwe hata na kunguni tu.

Hautaki kumuamini Diallo?😝😝😝😝
Za kuambiwa.....
 
Tatizo huyo mtu kila kitu yeye anatumia Kama fursa ya kupanda kisiasa Sasa sie tunaowaza tofauti bar anatuona hivyo ila kwa kupigwa risasi hakika niliumia na anapaswa kuwasikiliza wengine pia wanaoshauri asiwe much know
 
Back
Top Bottom