Na wewe tuambie hiyo ruzuku Chadema ya bilioni tatu kila mwaka ilifanya kitu gani?..ccm wanatembelea V8 huku shule zetu hazina matundu ya vyoo, wananchi hawana maji safi na salama, na matatizo mengine lukuki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe tuambie hiyo ruzuku Chadema ya bilioni tatu kila mwaka ilifanya kitu gani?..ccm wanatembelea V8 huku shule zetu hazina matundu ya vyoo, wananchi hawana maji safi na salama, na matatizo mengine lukuki.
kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.Hao watatu mmeshindwa kupambana nao mmewahifadhi kwenye chupi zenu hadi Lissu amefika akaongezeka.Chicken coops!😝😝😝😝
kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.Hao watatu mmeshindwa kupambana nao mmewahifadhi kwenye chupi zenu hadi Lissu amefika akaongezeka.Chicken coops!😝😝😝😝
Mbowe ameweka akili zao wote mfukoni hayajitambui.Na wewe tuambie hiyo ruzuku Chadema ya bilioni tatu kila mwaka ilifanya kitu gani?
Na familia zao za kijingaWatu wajinga ndio wataweza kudanganywa.
we una akili kisado mkuuTundu Lissu peke yake ni sawa na bunge lote la CCM lenye "waliopita bila kupingwa"
Na wewe una akili kama punje ya sukariwe una akili kisado mkuu
Upo sahihi kumbe Mtu mbaya anatakiwa Awekwe kwenye Hustoria ni Yule aliyeamuru TL APIGWE RISASINikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.
3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.
4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.
5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.
6. Kunyang'anywa ubunge.
7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.
8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.
Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.
Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
yakao kama chembe ya korodani na si haradan.rejea ngamian weweNa wewe una akili kama punje ya sukari
Mungu ni mwema alimpa stahili yake kwa faida ya taifa lake.Huyu niwakupiga mawe hadi afe.
Msaliti mkubwa!
Watu awaamki asubuhi moja na kuambizana tu jamani enhe twendeni tukamtwange Gaddafi, Saddam, tuiwekee vikwazo Venezeula, etc; bila ya kujiridhisha matendo yao yatakuwa na asilimia kubwa ya public support ndani ya nchi husika na viongozi wa nchi jirani.1. Kuna watu, very reliable, wanadai aliyetafuta data kuhusu makinikia siyo Lissu, ni mwanasiasa mwingine wa upinzani.
2. Suala la makinikia halikuwa na data au information zozote ambazo ni sensitive. Zile ripoti hazikuwa za taarifa za kuaminika na ndio maana hatukuambulia chochote na sasa hivi huzisikii zikitajwa na mtu yeyote.
3. Serikali na Polisi kushindwa kutoa majibu ni nani aliondoa walinzi area D aliposhambuliwa Lissu kunawafanya wadadisi waamini kwamba wauwaji walikuwa na watu wazito nyuma yao.
4. Polisi hawaonyeshi kama wana nia ya kuchunguza. Ni jambo la ajabu Polisi kuonekana hawana hamasa ya kuchunguza na kukamata wahalifu.
5. Waliomshambulia Lissu wangekamatwa serikali na Magufuli wangejizolea sifa nyingi. Inashangaza jinsi ambavyo Magufuli hakutoa msukumo au msisitizo kwamba waliohusika wasakwe na kuchukuliwa hatua.
6. Pia inashangaza kwamba Magufuli hakuwa mstari wa mbele kumsaidia Lissu. Magufuli aliyesaidia matibabu ya Ruge Mtahaba, Mzee Majuto, Askofu Ruwaichi, Dr.Kigwangala, Jenerali Mritabu,...kwanini hakujitokeza kumsaidia Tundu Lissu?
7. Wito na ombi la Tundu Lissu kwamba vyombo vya uchunguzi vya kimataifa visaidie kuchunguza shambulizi dhidi yake lilikataliwa. Hakuna sababu za msingi kwa serikali kukataa ombi hilo kwani lina faida kwa serikali kuliko kwa Tundu Lissu.
Kwa hiyo Lissu toka umsikie amekusaidia nn?Watanzania wanapenda sana kelele .Lissu msingi wake mkubwa ni kelele basi.Kwa hiyo hizo kelele ndio zinakusaidia?Mbowe pia msingi wake ni kelele.Je kelele za Mbowe zimekusaidia nn?Mara amechanjwa.Lakin bado anavaa barakoa.Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.
3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.
4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.
5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.
6. Kunyang'anywa ubunge.
7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.
8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.
Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.
Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
Aliyeanzisha huo ujinga kafa kifo cha aibu kubwaNikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.
3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.
4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.
5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.
6. Kunyang'anywa ubunge.
7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.
8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.
Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.
Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
Hayaoni hata aibuHao watatu mmeshindwa kupambana nao mmewahifadhi kwenye chupi zenu hadi Lissu amefika akaongezeka.Chicken coops!😝😝😝😝
Shangazi mbona umekuwa mkali?Kwani umeulizwa?kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.
Kumwondoa huyo adui kuna njia nyingi ili nchi ibaki salama.
Mwehu pekee anamwona huyo mpumbavu anafa.