Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Usiwe unakariri kupitiliza.Hata lugha unayotumia leo uliambiwa inatumika kwa namna fulani.Bila kuambiwa ungewasiliana kama ngedere tu.Za kuambiwa.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiwe unakariri kupitiliza.Hata lugha unayotumia leo uliambiwa inatumika kwa namna fulani.Bila kuambiwa ungewasiliana kama ngedere tu.Za kuambiwa.....
Lissu anashutumu watu watatu kwenye tukio lake Magufuli (hayuko hai), Kipilimba (yupo nche ya nchi) na Makonda (kwa sasa ni raia wa kawaida).
Kitu gani kinachomzuia kurudi Tanzania mpaka aombe kuhakikishiwa usalama wake nani anaetaka kumdhuru; huyo Magufuli karibu baraza lake lote la mawaziri wamemgeuka kiutendaji na maoni. CCM ina watu wengine kabisa.
Kwanini Lissu bado anaogopa kurudi Tanzania ilo ndio swali au anaogopa usalama wa taifa kwa ujumla wao kutokana makosa anayoyajua yeye mwenyewe.
Mpira upo kwa Tundu Lissu yeye ndio anajiuma uma kwa sasa kufunga...Mnauliza maswali ambayo yanamkandamiza victim badala ya kumtetea.
..Polisi nao wanatoa majibu ambayo yanamkandamiza victim na kuwatetea waliomshambulia.
Mpira upo kwa Tundu Lissu yeye ndio anajiuma uma kwa sasa kufunga.
Haya IGP hakumtafuta kama anavyodai kwanini asirudi sasa hivi aombe kwenda kusaidia ushahidi wa kesi yake kituo anachotaka badala ya kulalamika mitandaoni; walau afike aseme nimewaeleza yote awajafanyia kazi, kama ni Dodoma kamanda Muroto nae hayupo so hakuna mtu wa Magufuli.
Kwanini anaogopa mpaka leo kila kitu kimebadilika zaidi ya kuendeleza miradi ya kimkakati ya Magufuli, mama Samia anaenda na mziki wake na safu yake ya washauri binafsi ina watu wengine kabisa ambao awawezi beba personal vendettas za Magufuli awajafanya nae kazi kusema wanaweza mshawishi mama Samia ya kuwa Lissu ni adui.
In short Lissu hana sababu inayomzuia kurudi Tanzania leo; zaidi ya zile anazozijua mwenyewe. Kila mtu anamnanga Magufuli siku hizi seuse yeye akirudi akiamua kufanya ivyo.
Toa hoja za kuthibitishaLissu si mzalendo na ni adui wa Taifa
Toa hoja zako kama mtoa mada alivyofanya tukueleweTundu Lissu Huyu ni mfano mbaya kabisa na aibu kwa taifa letu.Si kiongozi mzalendo na ni adui kwa maendeleo ya taifa letu.
Ukweli ni kwamba Tanzania watu wenye Akili, weledi na misimamo thabiti hupigwa vita na wajinga wengi waliomo CCM
Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.
3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.
4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.
5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.
6. Kunyang'anywa ubunge.
7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.
8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.
Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.
Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
Jiongeze mkuu kumbuka Magufuli alimwita Lissu msaliti na wana taarifa zake za kutafuta info kwa watu mbali mbali ndani ya serikali kipindi cha makanikia.
Unajuaje hao aliokuwa anawatafuta serikalini sio washiriki wenzake?
Unajuaje hao watu wengine ndani ya serikali baada ya kujua Lissu mawasiliano yake yashanaswa ndio waliomuwahi Dodoma.
Unajuaje motives za kina Sirro na vyombo vya ulinzi labda wameshawajua washirika wa Lissu ndani ya serikali na yeye ndio mtu anaweza wapa ushahidi zaidi.
Haya mambo tuache kuchukulia vitu poa Lissu is compromised na handlers wake awawezi ruhusu kamwe kujipeleka polisi. Sio kwa sababu serikali aisemi sana kwanini inamtaka Lissu polisi na yeye anakimbia ukadhani ni wajinga.
Just food for thought; usidhanie negotiation team ilifichwa kwa bahati mmbaya.
In Magufuli’s voice nchi hii ngumu kuendesha niombeeni.
Kampeni Lissu ameanza mapema sana! Anatafuta huruma kwa ajili ya 2025! Atachoka.Nikiri kabisa Mimi si muumini wa siasa za upinzani lakini napenda haki na usawa udumishwe. Twende mbele turudi nyuma, hivi Kuna binadamu aliyefanyiwa ukatili kama Tundu Lissu. Naomba tuwe wa kweli jamani, tuwe wa kweli.
1. Kupigwa risasi, wahusika wasitafutwe.
2. Kuzuia fedha ya serikali iliyo stahiki yake asilate matibabu.
3. Kupiga waliokusanyana kumwombea.
4. Kukamata waliotaka kujitolea damu na kuwekwa ndani.
5. Kufutiwa posho zake zote kipindi yupo matibabu.
6. Kunyang'anywa ubunge.
7. Kuzuiliwa gari yake hadi leo isichukuliwe polisi.
8. Kuambiwa ni kibaraka wa mabeberu n.k.
Naomba tuwe wakweli hivi binadamu akifanyiwa haya yote anafanyaje jamani. Huyu mtu amekosa upendo kwa nchi yake. Yaani moyo wake umejeruhuwa sana.
Inahitaji kiongozi mwenye roho ya Mungu amrudishe huyu mtu kwa upendo afutwe machozi bado anaipenda Tanzania mno. Lakini kinyume chake wenye dola wanapiga kwenye mshono. Aiseee nimeamini duniani Ni mahali pabaya sana. Binadamu Ni mnyama mbaya mno Mungu atusaidie.
Mimi si mwana CCM ila sikukubaliana na Lissu kabisa kwenye suala la kuwatetea Acacia kwenye makinikia pamoja na suala la kutetea ushoga.Ukweli ni kwamba Tanzania watu wenye Akili, weledi na misimamo thabiti hupigwa vita na wajinga wengi waliomo CCM
Hawa wanasiasa hasa wa Chadema ni wachumia tumbo tu. Lissu ni makamu wa mwenyekiti lakini jimboni kwake Ikungi ofisi ya Chadema ni kama choo licha ya chama chake kupata ruzuku ya zaidi ya bilioni tatu kila mwaka siku za nyuma...haiwezekani kuwadanganya.
..kijijini kwetu hata mtoto ambaye hajaanza shule anamjua Lissu na machachari yake.
Hawezi kurudi, watu wanadai kuna kitu kanogewa.Lissu anashutumu watu watatu kwenye tukio lake Magufuli (hayuko hai), Kipilimba (yupo nche ya nchi) na Makonda (kwa sasa ni raia wa kawaida).
Kitu gani kinachomzuia kurudi Tanzania mpaka aombe kuhakikishiwa usalama wake nani anaetaka kumdhuru; huyo Magufuli karibu baraza lake lote la mawaziri wamemgeuka kiutendaji na maoni. CCM ina watu wengine kabisa.
Kwanini Lissu bado anaogopa kurudi Tanzania ilo ndio swali au anaogopa usalama wa taifa kwa ujumla wao kutokana makosa anayoyajua yeye mwenyewe.
Hawa wanasiasa hasa wa Chadema ni wachumia tumbo tu. Lissu ni makamu wa mwenyekiti lakini jimboni kwake Ikungi ofisi ya Chadema ni kama choo licha ya chama chake kupata ruzuku ya zaidi ya bilioni tatu kila mwaka siku za nyuma.