Kuna hatari kizazi hiki kikaaminishwa kuwa Tundu Lissu ni moja ya Watu wabaya na sio wazalendo kwa Taifa

..ccm wanatembelea V8 huku shule zetu hazina matundu ya vyoo, wananchi hawana maji safi na salama, na matatizo mengine lukuki.
Na wewe tuambie hiyo ruzuku Chadema ya bilioni tatu kila mwaka ilifanya kitu gani?
 
Hao watatu mmeshindwa kupambana nao mmewahifadhi kwenye chupi zenu hadi Lissu amefika akaongezeka.Chicken coops!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.

Huyo adui wa nne hana madhara kuna njia nyingi za kumwondoa nchi ibaki salama.
 
Hao watatu mmeshindwa kupambana nao mmewahifadhi kwenye chupi zenu hadi Lissu amefika akaongezeka.Chicken coops!๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.

Kumwondoa huyo adui kuna njia nyingi ili nchi ibaki salama.

Mwehu pekee anamwona huyo mpumbavu anafa.
 
Tundu Lissu peke yake ni sawa na bunge lote la CCM lenye "waliopita bila kupingwa"
 
Upo sahihi kumbe Mtu mbaya anatakiwa Awekwe kwenye Hustoria ni Yule aliyeamuru TL APIGWE RISASI
 
Huyu niwakupiga mawe hadi afe.
Msaliti mkubwa!
 
Watu awaamki asubuhi moja na kuambizana tu jamani enhe twendeni tukamtwange Gaddafi, Saddam, tuiwekee vikwazo Venezeula, etc; bila ya kujiridhisha matendo yao yatakuwa na asilimia kubwa ya public support ndani ya nchi husika na viongozi wa nchi jirani.

Sasa unapokwenda kuchukua kampuni iliyosajiliwa uingereza halafu itโ€™s parent company ipo Canada, itโ€™s board members are the sort of people raisi wa marekani anaweza wateua kushika nafasi sentive mpaka kesho including secretariat post; sio kwa sababu ya kufanya kazi Barrick la hasha ni kwa sababu washashika nafasi sensitive ndani ya serikali ya marekani kabla ya kwenda private kwa hiari na wanajua kutoa pressure serikali yao iingilie kati mambo yao.

Unadhani watu kama hao ukichukua kampuni yao wakitaka kukuadhibu wataingia tu mahakamani au watatoa pressure serikali yao ifanye jambo bila ya kujua ndani ya Tanzania wana public support kwanza; maana ni kweli mkataba wao ni wa kinyonyaji kwa muda mrefu sana.

Hiyo ndio ilikuwa kazi ya Lissu from the outset kuonyesha matendo ya serikali yana makosa kuwatengezea ACCACIA public support ata huko kwao wangeamua kuchukua hatua za kujibu mashambulizi wana baraka za watanzania kadhaa.

Na Lissu alishaanza kuwabeba wafuasi wa CDM na upinzani kwa wingi kwa kuuamisha umma mabeberu yangechukua hatua; wakulaumiwa ni Magufuli. Kila akiombwa Lissu acha hiyo michezo hasikii zaidi ya kujitapa tu mimi nilikuwa sijui huku na kule kutetea wananchi kabla yenu etc with his narcissistic comments.

Ni hivi ili jambo you ppl are beating round the bush, kulimaliza Lissu aende polisi; akifika huko akitoa ushirikiano wanaoutaka. Polisi wasipofanya kitu anaweza kuwa na hoja.

As yet anatuachia maswali kwanini ataki kwenda polisi ni kitu gani hasa kinachomfanya kuogopa kuitikia wito.
 
Tangu aliposhadadia juu ya serkali kushitakiwa MIGA nili mu diss kabisa,
 
Kwa hiyo Lissu toka umsikie amekusaidia nn?Watanzania wanapenda sana kelele .Lissu msingi wake mkubwa ni kelele basi.Kwa hiyo hizo kelele ndio zinakusaidia?Mbowe pia msingi wake ni kelele.Je kelele za Mbowe zimekusaidia nn?Mara amechanjwa.Lakin bado anavaa barakoa.
 
Aliyeanzisha huo ujinga kafa kifo cha aibu kubwa
 
TL huwa simtofautishi na chifu Mangungo wa Musowero
 
kwani akili yako ipo takoni mpaka ichokonolewe ndiyo ipande kwenye ubongo.

Kumwondoa huyo adui kuna njia nyingi ili nchi ibaki salama.

Mwehu pekee anamwona huyo mpumbavu anafa.
Shangazi mbona umekuwa mkali?Kwani umeulizwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ