Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Nime skim read tu ila huna ubongo tengevu, mbona mechi za jana CAFCL za mwisho zimechezwa muda tofauti
 
Kwani yeye anataka apangwe na mlandege kama alivyozoea.?
 
Nchi ya kongo wakristo ni wengi tofauti na waarabu ambao 98% ni waislam hiv muda huo ndio tayar watakuwa washafuturu na ndio maana hata mevhi ya simba kupigwa saba za usik kwao kul ilikuwa saa 4
Uko utaratibu wa kutumia kushughulikia masuala ya kufunga. Hata kwenye hizo timu 2 za saa kumi kuna waislamu. Hoja yako ni dhaifu
 
Hizo mechi zilikua za kukamilisha ratiba tofauti na zingine zinatoa muelekeo wa kundi
Zikichezwa muda mmoja ndo Yanga atashinda?

Kama ushindi upo basi upo tu hakuna haja ya kuwa na hofu juu ya hilo.

Yeye Yanga acheze mpira ashinde huku akijua kabisa Monastr akishinda pia anaweza kuongoza kundi.
 
Zikichezwa muda mmoja ndo Yanga atashinda?

Kama ushindi upo basi upo tu hakuna haja ya kuwa na hofu juu ya hilo.

Yeye Yanga acheze mpira ashinde huku akijua kabisa Monastr akishinda pia anaweza kuongoza kundi.
unadhani kwanini mechi za mwisho hua zinachewa mda mmoja, hasa zile ambazo zinatoa muelekeo wa kundi?
 
Yule kipa wa Mazembe eti anapangua kwa kutoa pasi kwa mpigaji πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nikisema mimi naambiwa sijui mpira. Msikilize mzee wa data anachosema hapa.

Monastir ni timu mbovu
Kwahiyo kwa akili zako unaamini katika hao wachambuzi uchwara. Endelea kuamini hao ila mpira ni mchezo wa wazi. Monastir ndio timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup. Kwenye msimamo wa ligi ya Tunisia ana point saba sawa sawa na ES Tunis.
 
Umepakua tu msimamo bila hata kuuelewa. Ile ni hatua ya playoff na ni kwanza wamecheza mechi mbili. Kwani si hata Ruvu Shooting waliwahi kuongoza ligi?

Na yule mchambuzi kama haujawahi kumsikiliza anakupa takwimu kabisa, sasa we kwa ubishi wako unataka kushindana na takwimu.
 
Yanga anaongoza kundi
 
Au siyo Mbumbumbu? [emoji23]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe na mchambuzi wako wote hamnazo, timu imemtoa bingwa mtetezi halafu mnasema timu ni mbovu.

Halafu Monastir hakucheza mechi mbili bali ni mechi moja tu na anapoint 7

Vipi kiapo cha Yanga kutoongoza kundi imefikia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…