Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 62
- 140
Point yako ni ipi?Wanasaikolojia wa jf bhana. Hapo si ajabu haujawahi kusoma hata topic moja ya masuala ya saikolojia lakini nawe unajiona mtaalamu unaeweza kujua hali ya akili ya mtu kwa kusoma anachoandika tu. Tujenge utamadumi wa kuheshimu fani za watu. Saikolojia ni taaluma watu wanalipa ada na kutumia miaka kadhaa kuisomea
Limeibuka wimbi la wanasaikolojia uchwara. Mtoa mada ni mmoja wapo. Mtu akipost utasikia huyu ana trauma, huyu ana changamoto ya afya ya akili na blah blah kibao. Jf watu tunatumia fake id. Kwahiyo unaweza kukuta mtu character yake aliyoitengeneza hapa jf ni tofauyi kabisa na uko mtaaniPoint yako ni ipi?
Binadamu ana DUAL PERSONALITY, anayoonesha mbele ya watu na kuna nyingine akiwa mwenyewe. Kwasababu ya anonymity humu, kuna watu you can tell about their hidden personality.Limeibuka wimbi la wanasaikolojia uchwara. Mtoa mada ni mmoja wapo. Mtu akipost utasikia huyu ana trauma, huyu ana changamoto ya afya ya akili na blah blah kibao. Jf watu tunatumia fake id. Kwahiyo unaweza kukuta mtu character yake aliyoitengeneza hapa jf ni tofauyi kabisa na uko mtaani
Kumbe huwa nabishana na madaktari humu na hammsemiNi daktari huyo MD kabisa.
Hao lakini… mi nauza zangu maandazi mtaani kwetu na supu.Kumbe huwa nabishana na madaktari humu na hammsemi
Kwenda zako tena wewe ukute pia ni daktari masaa yako ni usiku usiku tuuHao lakini… mi nauza zangu maandazi mtaani kwetu na supu.
Hiki kichwa haukifahamu tu… masomo ya udaktari yangenipeleka ahera !Kwenda zako tena wewe ukute pia ni daktari masaa yako ni usiku usiku tuu
Hell noo... Ngoja nitafanya utafiti yakinifuu.Hiki kichwa haukifahamu tu… masomo ya udaktari yangenipeleka ahera !
Usiku usiku sababu side hustle yangu ni ulinzi.
Malizia na Mama yako Mzazi.Naanza na huyu GENTAMYCINE
Nikimaliza Kumkojolea kote kote ALIYEKUZAA nitausoma.GENTAMYCINE sijui kama kasoma huu uzi