Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Mbona sio mapemaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Nikilala zaidi ya hapa si utaamka na njaa ukose hata breafast jamani! Au unatafuta kisingizio cha kwenda kunywa supu barπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Unajua we fala sana. Mecheka kama mwehu ujue... dah

Safari ya Makuti bar imekufa rasmi....
 
Kucheat siyo poa ila na kwenda kusema siyo poa considering wana miaka 4 na kwamba bro hata hajahisi?

Muombe connection bro upate kazi uhame hapo.
 
Kucheat siyo poa ila na kwenda kusema siyo poa considering wana miaka 4 na kwamba bro hata hajahisi?

Muombe connection bro upate kazi uhame hapo.
Ili bro aendelee kumegewa kimasihara?
 
Wivu sio dawa lakini mama D wangu

Lakini kukuandalia breakfast ili tule pamoja sio wivu jamaniπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Wewe ni mwanaume hayo mambo yaache.... Acha ale yeyote... Hawa wanawake ni vichaa Duniani... Unamzuia asiliwe ukiwepo chaajabu hata ukiwa haupo siku moja masaa ataliwa tu....

Mwache atumbukize mjegeje, ukitaka na wewe kautumbukize wa kwako humo.... Hawa wanawake wa kizazi hiki wanaume tusijichanganye akiliwa hata ukimuona muache akija tumbukiza mjegeje kisha tupa pembeni....

Shwain [emoji1782]
 
Lakini kukuandalia breakfast ili tule pamoja sio wivu jamaniπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Ni wajibu. Nimekuelewa. Basi acha niende kumwagilia maua. Maana naona hamna namna tena....
 
Mnywee pombe braza wako kisha mchaneπŸ˜… kama umri unaruhusu lakini! Mueleze tu ukweli hata kama atamaindi ila ushamwambia kuliko kuendelea kuteseka.
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Awe makini akimwambia shem wake kuwa analiwa awe imara maana shem atataka kymziba mdomo kwa kumtega ili aliwe kuzima kelele
 
Mi naamini Bro kashahisi au kashakuta na kusamehe. Huyu jamaa ili asigombane na watu apambanie connection apate kazi aondoke
Amini usiamini atakuwa hajastuka. Hakuna mwanaume anayejua mke wake analiwa na mtu akakaa asifanye kitu.

Kuna jamaa yetu mkewe alikuwa analiwa kila mtu anajua. Tukahisi na jamaa anajua. Siku moja kimasihara mshkaji akamwambia jamaa "we lakini una moyo, unamwachiaje jamaa anakugegedea kirahisi hivi?" Jamaa akastuka na kutaka kujua. Watu wakampa makavu

Hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa mkewe kulala chini ya paa la nyumba yake na yule mwizi kuishi kwenye ule mtaa
 
Awe makini akimwambia shem wake kuwa analiwa awe imara maana shem atataka kymziba mdomo kwa kumtega ili aliwe kuzima kelele
Dah hiyo vita itakuwa si ya karne hii. Huyo atakuwa Delila aliyepitiliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…