Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Chawa Kama Chawa πŸ˜… sema kwa hizi shobo za malaya wa jf mwamba lazma awe na uspesheli flani na mtu wa LG kwa sana..
 
Si mchezo
 
Ndio maana katika dini ya kiislamu jambo hilo linataka ushahidi wa kina, wawe watu watatu na waone kisu kinaingia katika ala yake kama unao ushahidi huo wambie hao walengwa pili ndoa ni jambo kubwa sana unaweza kuwa sababu ya wewe kuvunja ndoa ya watu na ukajuta ukija kumwambia shemegi ako anakubadilishia kibao kwa kaka ako kwamba wewe unamtaka na kunvunjia heshma yake na hapo hutoishi tena na kwa nini unachunguza mambo ya watu angalia mambo yako ,pengine kaka ako mwenyewe anajua anajifanya kama haoni ,bro majumba yana siri sana ndio usome hivyo becarefull na nyumba ya mtu au ndoa ya mtu utakuja kujuta zipo njia za kistarabu ukawambia wote wawili hapo unapo wafuma lkn uwe na mashahidi ukiwa peke yako basi jua italala kwako.
 
Bro nitamwambia atembee salama..atumie Kinga au aongeze mke wa pili.
Ama nimewaza tumia mbinu za Nyerere zile za kujifanya umeoteshwa jambo flani kumbe kaona kwenye TV habari za ulaya huko. Muweke kakaako kwenye fumbo tu.πŸ˜… Siku akija kubumbuluka kunakuwa hamna lawama.

Ni kumwambia tu braza nimepata ndoto flani haiashiri jambo zuri kuwa makini sana na shemeji ile ndoto sio nzuri. Nimeota shemeji analiwa na mtu tena unayemfahamu na ndoto hii ni zaidi ya mara moja.
 
tulifumaniana na shem kwenye lodge moja kabambiwa kabisa live.
nikapita nikatokea mlango wa pili nikatimua.
Bro hajajua mpaka anakufa.
 
Mhh hii kiboko mara bro wako atakuona una maruhani 4 yrs brother hajashtukia kuna kitu hapo sio bure kikulacho kiko nguoni mwako ushahidi ushahidi ushahidi ni muhimu sana sana.
 
Ni rahisi sana kumfikishia ujumbe, we mwambie huyu mshikaji wako km simuamini vile, kuwa naye makini na fanya uchunguzi wako kwa ukaribu sana. Akiuliza kwanini mwambie ni hisia zako tu zinakutuma.
 
Ongea na shemeji mwambia unajua upambavu anao ufanya
 
Katika maisha ya kawaida ya kila siku hakuna kitu kibaya kama kufuatilia maisha ya watu.Inakutesa sana.Na hata ukajua kwa bahati mbaya ama nzuri IGNORE as long as haikuathiri achana nayo hayakuhusu.


Hints:Ili uishi muda mrefu zingatia;
1.Usihangaike na simu ya mpenzi/mke/mume.
2.Usijihusishe na maisha ya watu.
 
Una uhakika kaka yako hajui? Vipi kama kaka uwezo wa kula mbususu hana kamuomba huyo rafiki yake amnusuru?
 
Na unavyo zidi kuchelewa ndivyo utamu unavyo zidi kumnoga shemeji yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwan bro wako ameoa huyo Dada ? Au ndio kajivutia na kujiservia ?

Je Wana watoto ?

Hayo ni maswali kadhaa lkn kwa kitendo anachokifanya shemej yako hakivumilik ww PASUA JIPUUU mwambie bro wako
 
Nimeoa tena kwa ndoa. na wana watoto wa tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…