Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

Weka picha yako tuone sebuleni na uani kukoje ili tuweze kutoa maoni ya uhakika.
 
Wasi wasi ndo akili lakini saa ingine jamaa hana hata nia mbaya ni vile tu sasa hivi dunia imegeuka juu chini hivyo tahadhari ni muhimu.
 
Atakulomba
 
umefanya uchunguzi ni wewe tu anakuongezea vitu au kuna wengine? Pengine ni tabia yake kwa wateja wake ... Chunguza kama ni wewe na uangalie anaongezea wa jinsia ipi?
 
Muonekano wako ukoje ukitembea kiuno kimelegea au kimekaza?
 
amehudumia km mteja tuu, acha kuwaza vibaya
 
Aseeee ila watuuuu😂🤣🙌🏾
 
Utambi ushazama kwenye chemli.
Hatuwezi tena kumuokoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…