Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Hajajibu kitu mpaka sasa?
 
Nashangaa Kuna watu kibao wamelike Kwa emeji na vicheko na nzuri sijajua Nini kinafurahisha
 
hii mbona ni kama chai.
 
Hiyo ni kawaida kwa wabongo.
Kuna sehemu nilikuwa na eneo langu lilipakana na jamaa alikuwa akifanyia Bandari, yeye kipindi hicho ilionekana majirani zake wote waliomzunguka sio level yake, Salamu hakuna.
Siku wapompiga chini ndio tulipojua kuwa hata yeye anaweza kuongea na kusalimia!
 
Ni mzaifu sana huyo, alitakiwa aendelee na hali zake na shida zake.
 
Mtumie message mwambie "kmamayo zako ,kale nyodo zako mbwa wewe "
 
Huyo wa 2 Sina shida nae, ila huyo wa 1 sitaki mazoea nae.

sio Kwa ubaya,ila napenda kufurahia maisha.
Sio kuhifadhi chuki around negative people.
 
Kwa hiyo jamaa ameshindwa kusurvive hata mwezi mmoja kuna kitu hakiko sawa kwenye huu uzi
Waajiriwa wengi ni hohehae hata mwezi hawatoboi bila mshahara , hata wanaopokea pesa nyingi wengi trend ni hiyo hiyo , mishahara inadumaza akili zao wengi ,so unakuta wamekopa kupitiliza na kufanya expenditure za kipuuzi muda mrefu ,ikitokea kazi ikaisha ni kilio na kusaga meno
 
Trump na Musk ni nyoko , wanapunguza mpaka wafanyakazi wa serikali kuu ya Marekani .
Mwezi huu wa pili retreachment zimeanza , anakwambia hamna haja ya ofisi kuwa na wahasibu watatu ,wakati mifumo iko automated na mhasibu mmoja anaweza fanya kazi kwa ufanisi na kuwajibika fully hivyo kusave pesa ya serikali
 
Great! 👍
nakupa mfano Jamaa yangu 1 wa toka udogoni, nyumba yetu hapa kwao pale.
.
hustle ali anza mapema, aka pata vi nafasi, still haku ni beba, na Wala siku mind kwani simdai.

alivyo anguka nikawa mimi ndio balance ya mzani, aka rudi juu kumbe haja badilika nika mvumilia tu.
Mwaka unao fata ukawa wa mageuzi kwangu.
still nili muona Jamaa.

2023 ndio ushikaji wetu ume kufa, ali pata tender ya kusambaza vifaa fulani.
Nika tafuta cheap market tuka kusanya pesa ya maana, mida ya kurudi nika muambia oya nime sahau kadi ya benki hotelini.

naomba 20k hapo nichukue kitu fulani, tuki fika nakurudishia. Si aka goma!.
na zile hela aka sema ana mpango nazo, nili ondoka siku hiyo na mpaka Leo hazi ivi.
 
UMEFURAHIII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…