Kuna jamaa yangu kapigwa Milioni 20 na mke wake kamkimbia kamuachia manyoya

Kwa mtu uliyezaa nae hata 200 achukue endapo atakuwa ameamua kwenda kuishi kivyake ama kwa sababu ajuaye mwenyewe.

Angekuwa amekata dushe la mwamba na kusepa nalo hapo tungelia na mwamba pamoja lakini kwa hili, ni jambo la kawaida sana mwanamke kajilipa gharama za kumfulia boxer na kumpikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…