kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,966
- 26,220
Wakuu,
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.
Je, nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?

... TUNASONGA MBELEE!