Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

Ila JF kuna watu wana akili za *******? Yaan ukimkopesha hukutuambia,hujalipwa unakuja kutuambia ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Luka 6:35
Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.

Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.

Je, nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Hapo ujamaa ndo ushakufa!
 
Nabii kuna mwingine huku, amekopesha elfu 5 Leo siku ya 10 simu ya mkopeshwaji haipatikani
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.

Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.

Je, nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Wakati mnakopeshana ulitutaarifu?
 
Back
Top Bottom