Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Haaahaa π π π π haiombwiii ivyoooooHapana boss wangu naomba kilo mbili π© π©
Haaahaa π π π π haiombwiii ivyoooooHapana boss wangu naomba kilo mbili π© π©
Aiseeee π€ π€ π€ π€Hiyo hela umemuazima! Na siyo kumkopesha. Taasisi za kifedha zilizo sajiliwa na BOT kama mabenki, nk. ndiyo zinakopesha! Tena kwa riba iliyochangamka kweli kweli.
Sasa nisingizie naumwa au sijui mtoto daah, πHaaahaa π π π π haiombwiii ivyooooo
Tupambane mkuu....tuwe kama wavuviii tusimpe mtu samakii...tumfundishe mtu kuvua samakiiii.Sasa nisingizie naumwa au sijui mtoto daah, π
Boss wangu usinifanyie hivyo
Nifundshe kumpata huyo samaki sasa π nisiombe hizo kilo kiloTupambane mkuu....tuwe kama wavuviii tusimpe mtu samakii...tumfundishe mtu kuvua samakiiii.
Kwa kweriiiii π π
Weekend tuonanee nakuweka kwenye ratibaa hapaaNifundshe kumpata huyo samaki sasa π nisiombe hizo kilo kilo
Hahahaha jumamosi au jpl π©π€Weekend tuonanee nakuweka kwenye ratibaa hapaa
Nta arrange mapemaa kaka worry out sana sana iwe jumamosi jioniiHahahaha jumamosi au jpl π©π€
Akija kukopa unamwambia aende akakope bank au kwenye taasisi zinazokopesha. Vinginevyo ukiendelea kukopesha watu iko siku utaangalia notebook yako ya watu unaowadai unakuta unadai fesha kiasi cha kutosha bajeti ya wizara moja ππ na hawana mpango wa kurudisha.Mtu wa heshima, anakuja Kwa adabu zote. Ila ukimkopesha ndio mazima. Inasikitisha sana. Ni muhimu kukopesha Kwa kiasi. Vinginevyo ni matatizo tuu
Ok hapana shaka, utanipa updates mapema nijue natoka vipi hapa kwa wahindi kukata pilipili manga π©πNta arrange mapemaa kaka worry out sana sana iwe jumamosi jionii
Unatutania Mimi ndio nipo kwa wahindii kariakoo tena natumia FREE wifi hapaaaa..Ok hapana shaka, utanipa updates mapema nijue natoka vipi hapa kwa wahindi kukata pilipili manga π©π
Sorry mkaka/baba,can I have ur number ππwe unafaa sanaMimi sikopeshi kabisa nowadays ukiniomba ntakupa kukupima kilicho ndani ya uwezo.
Ili hata usipo lipa Roho haiumi inakua ni msaada na umejifukuza mwenyewe..
Pia nipo kwa wahindi Upanga hapa nakata kachumbari Nile ugali dagaa mchele π π,,,Unatutania Mimi ndio nipo kwa wahindii kariakoo tena natumia FREE wifi hapaaaa..
MImi ni mbaba na kitambi na mvii zimeanza Anza tena mume wa mtu.Sorry mkaka/baba,can I have ur number ππwe unafaa sana
Kumbe kwa wahindii tupo wengiii ila tumesha andika moyoni ONE DAY YES HAAAHAA π πPia nipo kwa wahindi Upanga hapa nakata kachumbari Nile ugali dagaa mchele π π,,,
Hahahaha mhindi unamkwepaje sasa π πKumbe kwa wahindii tupo wengiii ila tumesha andika moyoni ONE DAY YES HAAAHAA π π