Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

Ana vyanzo vya mapato? Ama ungaunga mwana. Kama vyanzo vipo kuwa na subra atakulipa ila kama ni wale wale wa kungoja mwisho wa mwezi, pole sana
Mwajiriwa
 
Mambo mengine bwana Sasa sisi tufanyaje..watu wanachangishana bilioni 83+ kwa siku Moja ...nyinyi mnakuja kulialia kwa laki 5? Yani laki 5 unafungua thread....mnachosha...mnaboa...tuna mambo mengi ya kiinchi...
Hujashikiwa mtutu kusoma huu uzi mkuu.ungepita kimya kimya tu.
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.

Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.

Je, nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Fata njia za tala 🤣🤣
 
Kawaida sana ,hii dunia utakuja kuwalaumu CCM ila hii nchi kila mtu ni mwizi ..Yaani kukopeshana ni haramu bora umsaidie tu.
 
Wakuu,

Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa Jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.

Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.

Je, nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Wakati mnakopeshana ulitushirikisha?
 
Back
Top Bottom