Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita, akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa

Hiyo Mbona Ni Issue Ndogo Sana!. Chakufanya Hapo Nawewe Nenda Kamkope. Full Stop!!.
 
Wakuu
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita,akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.
Je nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Tuma meseji vipi mkuu jtatu leo
 
I wish ningekua her🙂
Kwa nini umesema ivyo yule na Mimi ni soulmate ambao tulitenganishwa for DEVINE PURPOSES.

Mara ya mwisho aliniomba 1m nikampa... Binafsi Mimi Huwa nikimpa mtu kitu Huwa sitegemei kurejeshewa na usipo rudisha umejifuta kabisa kabisa ukipata UHITAJI utakua umeshindwa kuomba msaada wangu.

Yule mdada baada ya 3 months bila kutegemea akasema nikuingizie kwenye simu au account Yako nikasema vyovyotee aisee akatuma kweriiiii sikutegemea kama angerudisha pesaaa
 
Wakuu
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita,akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.
Je nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Kama alivyokuja,nawewe nenda hivyo hivyo!
 
People are kukugreedy, cruel, ignorant , ungrateful and forgetful .

Mimi zaidi ya watu watatu nimewadaidia katika hali ngumu wengine ada kipindi cha mitihani na bila kuwasaidia wasingefanya , wengine katika shida kweli kweli huku wakitia huruma jikawasaidia kibinadmau kuwakopesha.

Shida sio kutolipa tatizo mtu kwenda kinyume na ahadi yake na mbaya zaidi siku aliyoahidi inspita bila kutoa mrejesho Wala kutoa ahadi mpya hata ya uongo bali anakupotezea kabisa mazima hata bila kukutafuta na wengine wanakukwepa kabisa . Inasikitisha sana binadamu kuwa wajinga kiasi hiki kitokuwaza kipindi una shida mwenzako alijitoa bila kujali shida zake binafsi ili kukusaidia lakini mtu unakuwa jeuri.

Sisi wanadamu ni viumbe wa ajabu sana , Bora mtu awe anakutafuta na kukupa updates nivumilie usinione kimya unakuta mtu hata ukimtafuta hakujibu...
Au anabadilisha line,au hapokei Simu!
 
Kwa nini umesema ivyo yule na Mimi ni soulmate ambao tulitenganishwa for DEVINE PURPOSES.

Mara ya mwisho aliniomba 1m nikampa... Binafsi Mimi Huwa nikimpa mtu kitu Huwa sitegemei kurejeshewa na usipo rudisha umejifuta kabisa kabisa ukipata UHITAJI utakua umeshindwa kuomba msaada wangu.

Yule mdada baada ya 3 months bila kutegemea akasema nikuingizie kwenye simu au account Yako nikasema vyovyotee aisee akatuma kweriiiii sikutegemea kama angerudisha pesaaa
mkuu nitakua narudisha mimi kweli,,ila zingatia kama ningekua yeye🤣🤣
 
Wakuu
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita,akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.
Je nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Mbinu Ile ile aliyotumia yeye
 
Mtu wa heshima, anakuja Kwa adabu zote. Ila ukimkopesha ndio mazima. Inasikitisha sana. Ni muhimu kukopesha Kwa kiasi. Vinginevyo ni matatizo tuu
Kukopesha sikuhizi ni kama kufanya risk business, kopesha the amount you are willing/affording to lose, otherwise you will learn in a hard way.

Kukopeshana kumevunja sana urafiki.
 
Mambo mengine bwana Sasa sisi tufanyaje..watu wanachangishana bilioni 83+ kwa siku Moja ...nyinyi mnakuja kulialia kwa laki 5? Yani laki 5 unafungua thread....mnachosha...mnaboa...tuna mambo mengi ya kiinchi...
 
Wakuu
Kuna jamaa yangu nimemkopesha laki tano week iliyopita,akasema angenilipa jumatatu ya week hii,ila mpaka sasa hajanilipa na wala hajanipigia kuniambia lolote ila naona status zake whatsapp anajipost maeneo ya starehe.
Alivyonikopa aliniambia anataka kuongezea pesa ya kodi ya nyumba imepelea.
Je nitumie mbinu gani jamaa kumkumbusha deni langu?
Hiyo hela umemuazima! Na siyo kumkopesha. Taasisi za kifedha zilizo sajiliwa na BOT kama mabenki, nk. ndiyo zinakopesha! Tena kwa riba iliyochangamka kweli kweli.
 
Kwa nini umesema ivyo yule na Mimi ni soulmate ambao tulitenganishwa for DEVINE PURPOSES.

Mara ya mwisho aliniomba 1m nikampa... Binafsi Mimi Huwa nikimpa mtu kitu Huwa sitegemei kurejeshewa na usipo rudisha umejifuta kabisa kabisa ukipata UHITAJI utakua umeshindwa kuomba msaada wangu.

Yule mdada baada ya 3 months bila kutegemea akasema nikuingizie kwenye simu au account Yako nikasema vyovyotee aisee akatuma kweriiiii sikutegemea kama angerudisha pesaaa
Boss wangu naomba kilo mbili 😩😩

cc MENEMENE TEKERI NA PERESI
 
Back
Top Bottom