Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

Hivi ndivyo namna serikali inatakiwa kufanya kwenye situations kama hizi na sio kumfanya maskini kuwa maskini zaidi.

Yaani wanahahikisha tunakua mafukara.
Tuna unafuu mkubwa Sana kuliko kwa hao ukiowataja,ndio maana serikali bado haioni haja yeyote ya kuanza kujitia kwenye hasara wakati hatujafika critical point..

Safi Sana Serikali.Leo hii mafuta so tuu ya magari bali ya kula yamepanda Sana lakini kupanda huko Tzn bado tuna nafuu Sana .

Kama unataka ushahidi soma makala hii ya BBC👇



 
Kutangaza ni sehemu ya kutatua,ndio maana Rais huwa anatangaza Hali ya hatari au majanga nk na hili ni sehemu ya mambo hayo,shida yako akili kisoda.

Mama yuko kazini 👇





 
Dikteta mbona yeye ndio alikuwa chanzo Cha sukari kupanda Bei,kutoka 1800 per kg Hadi 4000 ilifika, hata mafuta ya kupikia yeye ndio sababu ya kupanda Bei Hadi leo, muacheni mama apige kazi nyie misukule ya bwana yule
 
Hamia chato
 
Mama atuambie tuhamie nchi gani ili mambo yaende sawa
Nimemtetea sana ila uzalendo umenishinda
Mtaani kwetu lita moja ya mafuta ya kula 7000
Chapati tunauziwa mia 500 badala ya mia 300
Na kazi iendelee sasa
 
Mama atuambie tuhamie nchi gani ili mambo yaende sawa
Nimemtetea sana ila uzalendo umenishinda
Mtaani kwetu lita moja ya mafuta ya kula 7000
Chapati tunauziwa mia 500 badala ya mia 300
Na kazi iendelee sasa
Hamia chato!
 
Stroke lazima ianzie kichwani ss hv, wkt wa jiwe mlikuwa na maneno ya shombo sn nyie wafuasi wake

Mama bado anaupiga mwingi na kazi iendeleeeeee.
 
Huna bunge huru we ulidhani kuharibu bunge unamkomoa mbowe
 
acha tuisome namba ccm mbele kwa mbele.
 

Wale chawa wa mama akina nape na februari wanasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…