Marais wanaojitambua[emoji116]
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei[emoji205][emoji205][emoji205]View attachment 2177448
Ukweli mchunguHawajui kama kuna mtanzania mwenye zero income daily.
Tuseme tu mama hatupendi wa bara
Kweli tupu ndiyo ni dikteta hatari sn MwiguluHata yule aliyesema tusiopenda tozo twende Burundi ataturudisha kwenye Chato regime akiwa Rais.
UVCCM unawaza ngono muda woteNjoo nikuoe upunguze ukali wa maisha bibie
Nafikiri serikali ingefanya intervention na kufidia gap hilo.Hii ndio sehemu yake muafaka.
Tuliambiwa tuende Burundi sisi tumeng'ang'ania kubaki!!! Na bado!!!! Yaani tutakomaje!!!!!Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Vita vya Ukraine mkuu , mbona iko wazi?Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Ngoja kwanza watu wafukie mashimo mkuuKwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Majuzi congo wamekula kichwa Cha waziri wa uchumiUmeuliza swali zuri sana....
Sasa majibu yako ni haya
Kosa la wananchi wa Tanzania ni ukimya wao
Nimekaa sana nikawaza.Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Mkuu kwani hujui makosa yetu?Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Mlikosea kulishangilia lile dubwasha ( SIMBA WA YUDA)Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.