Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,364
Kwa hiyo? What is a solution at least ya muda mfupi. Tuache watu waumie?Marais wanaojitambua👇
View attachment 2177443View attachment 2177444View attachment 2177446View attachment 2177447Rais asiejitambua yupo busy kuhamasisha wafanyabiashara wapandishe vitu bei🐒🐒🐒View attachment 2177448
Kwahiyo Kenya wakiwa wanakufa njaa na Tanzania wanatakiwa wafe kwa sababu kenya wanakufa ???Tuna unafuu mkubwa Sana kuliko kwa hao ukiowataja,ndio maana serikali bado haioni haja yeyote ya kuanza kujitia kwenye hasara wakati hatujafika critical point..
Safi Sana Serikali.Leo hii mafuta so tuu ya magari bali ya kula yamepanda Sana lakini kupanda huko Tzn bado tuna nafuu Sana .
Kama unataka ushahidi soma makala hii ya BBC[emoji116]
View attachment 2177506
View attachment 2177507
Kazi ipi ?Dikteta mbona yeye ndio alikuwa chanzo Cha sukari kupanda Bei,kutoka 1800 per kg Hadi 4000 ilifika, hata mafuta ya kupikia yeye ndio sababu ya kupanda Bei Hadi leo, muacheni mama apige kazi nyie misukule ya bwana yule
Mtaani kwetu lita ya mafuta ni 9500Mama atuambie tuhamie nchi gani ili mambo yaende sawa
Nimemtetea sana ila uzalendo umenishinda
Mtaani kwetu lita moja ya mafuta ya kula 7000
Chapati tunauziwa mia 500 badala ya mia 300
Na kazi iendelee sasa
Vita imeanza mwezi February wakati mfumuko wa bei ulianza July au bei hapo napo unasemaje?Vita vya Ukraine mkuu , mbona iko wazi?
Bungeni aliyeliua bunge letu Mungu amlaani huko aliko.Majuzi congo wamekula kichwa Cha waziri wa uchumi
Ndio hatufi sasa mbona unalazimisha tufe?Kwahiyo Kenya wakiwa wanakufa njaa na Tanzania wanatakiwa wafe kwa sababu kenya wanakufa ???
Nyinyi ndugu zetu huko majumbani mwenu huwa mnakula vyakula gani vinavyogeuza vichwa vyenu kuwa vifuniko vya shingo ?
Lini ulibadili matumizi ya kichwa kuwa urembo ?Ndio hatufi sasa mbona unalazimisha tufe?
Nyie mnaokula kwa urefu wa kamba hamjui Wananchi tuna Hali gani?Na iwe tu. Uchumi ulikuwa umeyumba sana huwezi kutoa offer halafu utaendeleza vipi miradi, utalipa vipi watu mafao na mishahara.
Huwezi park gari.
Kweli Watanzania tuna huruma Sana yani pa1 na kutendewa vibaya na serikali hii bado tunajiuliza sisi ndio tumekosea wapi? [emoji849]Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Fanya kazi ela ipo acha kutamani taman yasiokuhusu.Nchi ina Rais goigoi,kazi na wajibu wa Rais ni kutatua changamoto na wala siyo kuwatangazia wananchi kuwa wakae tayari kuteseka kwa changamoto.
Rais anapaswa kuja na majibu ya changamoto na wala siyo kuwapigia wananchi makelele kuwa changamoto zitakuwa nyingi.Tuna Rais goigoi haijawahi kutokea.
Allowances zote wanazopata wakitembelea miradi zifutwe kwani wantumia magari ya serikali na kukirimiwa na viongozi waendako. Turudi early sixties ukitaka ubunge uwe unajitolea kuwaletea wananchi maendeleo na sio kujitajirishaKwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Yapi hayo ambayo hayanihusu?Fanya kazi ela ipo acha kutamani taman yasiokuhusu.
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda hapa nyumbani nahisi labda kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali yetu na imeamua kutuadhibu.
Kwakua ,Serikali yetu ipo busy kuhakikisha kuwa maisha ya Mtanzania yanakua magumu kila siku.
Kwanza walibadili bei ya kuunganishwa umeme toka elfu 27 mpaka laki tatu. Zanzibar imebakia ile ile.
Pili wakawafukuza kila mahali wamachinga. Zanzibar wameboreshewa vitambulisho vyao ili wakopesheke.
Tatu wakaondoa kiasi cha shs mia kwenye mafuta na kuirejesha tena kipindi ambacho bei ya mafuta imepanda. Hapa ukali wa bei umeongezeka mara mbili.
Nne hakuna mradi hata mmoja wa kimkakati uliokamilika wala hakuna jitihada za wazi na za dhati kuhakikisha inakamilika.
Tano ongezeko la mikopo isiyokuwa na tija inayopelekwa katika miradi ambayo haileti faida.
Sita kuanzishwa kwa tozo juu ya kodi jambo linalofanya mwananchi alipe kodi mara mbili kwa huduma moja.
Saba umeme na maji sio vya uhakika.
Nane bei za bidhaa na huduma zinapanda kila siku na hakuna anayejali.
Kurejea kwa huduma mbovu za kijamii na rushwa.
Unabaki kujiuliza nia halisi ya serikali hii ni nini??
Je kuna jambo sisi wananchi tumeikosea serikali hii?? Tuambiwe tujue.
Cc KibunangoView attachment 2177440No one is going save you from the beast your about to strike!
Thriller auuuuuu🎶🎶🎵🎤🎹...😁😁