Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

Naunga hoja mkono.
 
Nakubaliana na wewe Blaza
 
Tumepata Rais bold anayefuata sheria kama ilivyo, anayetamka mambo openly hata kama hayapendezi masikio.
Rais anayeijenga nchi bila kutafuta cheap popularity. Mpaka 2025 mtamuelewa.
Mbona alianza mipasho wakati Ndugai anatamka wazi wazi. Angemuacha aendelee kusema
 
Maza akimaliza atarudi kwao Pemba chap ana tuacha na matatizo yetu
Na yuko bize kuhakikisha Zenji inakuwa Kama Dubai ya Afrika!! Keshamsogeza mrithi wake tarajiwa Toka Zenji na kumpatia ubunge wa kuteuliwa, Kisha atapewa Jimbo, Kisha waziri mkuu then....... malizia mwenyewe! Ni mtazamo anyway, na wewe unaweza kuwa na wa kwako!!
 
Hakuna tabu tutahamia tu huko Burundi!!
 
Kwa wenzetu wanaojitambua👇👏👏👏
Kwa Mitanzania ambayo haijitambui baada ya kuruhusu vibaka waliopora chaguzi kushika dola👇🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Jambo lipo wazi ccm wamekuwa wakitawala bila kutegemea kura yako stroke unategemea ufanyiwe hizo vitu ulivyotaka wakati ujawachagua kila mtu ale ulikopeleka mboga
 
Na mimi mwenyewe nabaki kujiuliza mtoa mada una Nia gani kwa uzushi na uongo wenye mlengo wa chuki!.
Hivi ni uzushi kuwa tozo kwenye mafuta iliyokuwa imetolewa Sasa imerudi? Hivi ni uzushi kuwa Bei ya mafuta ya kula imepanda? Hivi ni uzushi kuwa Bei ya kuunganisha umeme iliyokuwa imepunguzwa Sasa imerudishwa Ile kubwa?
Ukweli usemwe hata Kama tunampenda lakini ukweli ni kuwa kwa "Sasa Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake"!! Anajifunga!! Tunamshangilia kwa kujifunga!! Ni Kama yule mlinzi wa Gendermarie aliyeamua kuupiga mwingi kuelekea golini kwake, na kipa akamuunga mguu mpira ukajaa golini!!! Kurudisha tozo ni kuupiga mwingi kuelekea golini kwake!!
 
Tukodishe Nchi yetu kwa hiyo jirani ambaye yeye naona anajua dhana ya uongozi vizuri zaidi!!
 
Huyo mama anachonga'ng'ana ni kukusanya tozo zaidi, naona kaaminishwa sana na madelu kuhusu kuendesha uchumi wa tozo........nchi inatakiwa irudi kwenye uchaguzi.

Mama inabidi ajue kuwa madelu anautaka urais!! Anamshauri vitu vya kumwangusha!! Anautolea udenda urais!
 
Ukweli ni ule unaokufurahisha wewe? Kwani serikali haikueleza wazi sababu za kuweka hiyo 100 ?
 
Hiy Hiyo kauli ya mama Haina hata chembe ya faraja kwa wananchi wake wanaotegemea faraja kutoka kwa viongozi wao!! Ni afadhali kunyamaza kuliko kutoa kauli ya kukatisha tamaa!!
 
Nchi ipo kwenye transition mimi binafsi naelewa kinachofanyika utawala uliopita tulifichwa mambo mengi hivyo hatukuwa na ufahamu na serikali iliendeshwa kwa propaganda nyingi sana.

Kww hiyo ulifichwa hadi bei ya mafuta na umeme 27000
 

Hawawezi kumshauri hivyo maana hawa manyangau watakosa ulaji hebu fikiria naibu waziri anatoka dodoma kuja mkoani kwa kisingizio eti cha kukagua mradi huku anajiandikia mamilion ya pesa kama posho ukijumlisha na mafuta ndo basi tena
 
Kila mwezi lazima aende Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…