Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Tuwaombee tu wawe salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana mkuu, si uongo bado wanatembelea nyota ya Idi Amini dada,Ni overrated sana hiki chombo aiseee
JWTZ walienea mpaka wote lkn kuna taarifa kwamba walipunguzwa kwa sababu ya maandalizi ya uchaguzi.Aibu JWTZ badala ya kulinda mipaka na maisha ya watanzania
Bado wako bize kulinda masilahi ya chama pendwa
Mkuu una uhakika na ulichoandika?Amboni na kibiti ni kazi mujarab za Jeshi tukufu la Polisi.
Nasikia hali ni tete,tuombe kwa umoja wetu ili hawa watu waondoke lakini operation kama ile ya kibiti inahitaji huko, ili kuwamaliza kabisaHivi vikundi vya kigaidi havina mbabe kabisa.
Tena hao JW unaowataja wanaweza wakawa wabovu zaidi.
Mpaka leo licha ya Israel kuwa na Teknolojia kubwa lakini bado inahaha na mambo haya.
Ni kuomba Mungu aepushe suala hili.
Haya yote yametendeka usiku au mpaka asubuhi.