Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Kuna mwanamke ninaye yaani kila nikitafakari naona napigwa akinitafuta ujue anaomba hela, nikishamtumia hata kushukuru hawezi ukimwomba mapenzi ananizungusha zungusha mpaka tugombane ndio atanipa sasa kivumbi jana usiku nimerudi zangu job nimekaa sebuleni kucheki movie nikaingia whatsapp kupitia ya hapa na pale ghafla nikaenda kucheki status za watu sasa kwenye status yake nimeona kaweka picha ambayo inaonesha yupo mahali gesti au lodge sasa leo asubuhi namuuliza ananiambia jana alienda kupumzika kuna watu wamemvuruga kwenye vicoba vyao vya wanawake nikamuuliza umeshindwa kunitext au kunipigia uje kulala geto akanijibu kuwa alihitaji kuwa alone, sasa tumepigiana simu tumetupiana maneno makali ila naona huyu mwanamke ni mchafugoke au niendelee tu kusubiri miujiza ya wana wa israeli.. wajuzi wa haya mambo njooni mniseme.