Kuna Jambo linanikwaza hapa: Naomba kufahamu tabia za mwanamke anayefanya umalaya kwa siri

Niseme tu wewe mkuu ni "bwege nazi" una macho matatu ila huoni , hivi mpaka hapo unasubiri ushauri ili ufanye maamuzi? (excuse my language)
 
Hakuna miujiza.
Wanawake huwa hawadanganyi. Wanaonyesha red flags since day one, we ukachagua kuignore.

Eidha uendelee kupigwa au usanuke.
 
Niseme tu wewe mkuu ni "bwege nazi" una macho matatu ila huoni , hivi mpaka hapo unasubiri ushauri ili ufanye maamuzi? (excuse my language)
mimi si mjuvi wala mbobevu wa mahusiano mkuu nafikiri hili nalo linachangia kwakweli.. kuna ile unampenda kabinti ila chenyewe ni mazonge kanakuja kupigwa na wahuni kabaki kenyewe na vitoto juu
 
USIMPE MWANAMKE ATTENTION

Naweza sema brqza kata hio connection kati ya ubongo wako ma moyo wako.

Wanaume mabwege huwa Kuna connection Fulani kati ya moto na ubongo zao.

Connection pekee inayotakiwa ni kati ya UBONGO na MDOMO WAKO.
 
Tafuta hela mwanamke hutamuweza
 
Mkuu achana naye, atakuambukiza miwaya.
 
mimi si mjuvi wala mbobevu wa mahusiano mkuu nafikiri hili nalo linachangia kwakweli.. kuna ile unampenda kabinti ila chenyewe ni mazonge kanakuja kupigwa na wahuni kabaki kenyewe na vitoto juu
kuna haja ya kuwa makini sana na hivi vibinti vidogo mkuu, siku hizi ndio vinaongoza kwa kugawa 'tigo', vinagawa utamu kama vimechanjiwa, alafu huku mtaani hawatumii nguvu kuvila, mabwana zao ni hawa waimba singeli, yani ukisokota virasta tu na kuvaa suruale makalioni basi vitakugombania hatari, ila wakija kwako ndio wanakulia pesa zako. Wenyewe wanawaita 'mubaba' sikuhizi. Chunga sana comrade.
 
Kwahyo mtu asipumzike kidogo, amekwambia alihitaji kuwa peke yake
Shida ipo wapi hapo....vicoba vina stress hujui tu...usigombane kwa vitu vidogo hivyo kuwa muelewa
 
#endelea kusubiri muujiza wa wana wa Israel.. anakupenda sana huyo ana kujaribu tu aone msimamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…